Recent posts
October 14, 2025, 7:38 pm
Mwana wa Afrika Neema kwa wakulima Nyasa
Akizungumza katika Mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Mwana wa Afrika, Bi. Rhoda Mwita Amesema kuwa Wakulima hawana budi kufanya kilimo Tija kwani hili ni hitaji kubwa hasa katika jamii nyingi nchini na ndiyo maana Wameamua kutoa mafunzo kwa Wakulima ili kuimarisha…
October 12, 2025, 9:48 am
Bonanza: Watumishi Nyasa, uchaguzi
Kujiandaa na kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura kwani hiyo ndio njia pekee ya kupata kiongozi bora na atakayefaa katika jamii. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyasa, Ndg Khalid Khalifa ameandaa Bonanza maalumu la watumishi Wilayani humo likilenga kuboresha Afya…
October 12, 2025, 9:26 am
Takukuru Nyasa na jengo jipya
picha ya jengo la Takukuru Nyasa Akizungumza katika tukio hilo, Bw. Chalamila amewapongeza viongozi wote sambamba na wananchi kwa kusimamia zoezi la ujenzi mpaka linakamilika huku akiwaasa kuwa viongozi wa dini, vyama, wananchi waendelee kupiga vita rushwa kwa kuripoti matukio…
October 10, 2025, 9:54 am
Siku ya afya ya akili duniani Dkt. Hokololo atoa somo
Kwenye picha ni Dkt. Hokororo mtalamu wa Afya ya Akili kutoka hospitali ya wilaya ya Nyasa Hayo yameelezwa na Mtaalamu wa Masuala ya kiafya ya akili na Saikolojia, Dkt. Hokololo akizungumza na Unyanja Fm katika kipindi maalumu ambapo amesema kuwa…
September 17, 2025, 11:29 am
Nyasa waaswa kuchangamkia fursa za bandari
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia ya kuzichungulia fursa mbalimbali kwa kutazama changamoto zilizopo katika jamii. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Perresi Magiri amewaasa wananchi wa Nyasa kuwa na tabia…
September 17, 2025, 11:05 am
DC Nyasa: Mgombea urais CCM apokelewe kwa ‘vibe’
kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Nyasa Mh perres Magili Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mh. Perresi Magiri amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya mgombea nafasi ya Urais Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgombea mwenza…
August 25, 2025, 12:58 pm
DC Nyasa afunga mafunzo ya jeshi la akiba
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri leo tarehe 22 Agosti,2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi tarehe 9 Aprili,2025 yakiwa na Wanafunzi 16 Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri leo tarehe 22 Agosti,2025 amefunga Mafunzo ya…
May 26, 2025, 12:49 pm
Mamba kitoweo kwa jamii ya Nyasa
Wakati maeneo mengine wanamuona mamba kama mnyama mkali lakini sivyo kwa wilaya ya nyasa ambako baadhi ya sehemu amefanywa kitoweo na wahusika kufurahia ladha yake Na Mussa ndonde Hayo yameelezwa na wananchi wa kijiji cha nangombo kitongoji cha tembwe kinachopitiwa…
December 3, 2024, 11:39 am
Veta Nyasa Fursa kwa kujiajiri
Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa kimefanya Mahafali yake ya kwanza mahafali yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Chuo hicho na Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ni Mkuu Wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri . kwenye picha ni mgeni…
August 16, 2024, 10:29 pm
Takukuru Nyasa yatoa elimu kupambana na rushwa kuelekea uchaguzi selikali za mit…
Taasisi ya kuzui na kupamba na rushwa (TAKUKURU) wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma inaendele na zoezi la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kupiga vita vitendo vya rushwa wakati taifa likielekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandisha wa…