Wanafunzi
23 July 2024, 3:30 pm
Barabara ya Pembamoto na Mlali kupandishwa hadhi
Ameahidi kuunganisha wilaya ya jirani ya Gairo kupanda hadhi kutoka kwa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) kwenda kwa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) ili kuunganisha mikoa. Na Bernadetha Mwakilabi, KongwaMbunge wa Jimbo la Kongwa Mh. Joab…
23 July 2024, 3:09 pm
Kongwa yapongezwa utekelezaji wa miradi
Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa chumba 1 cha maabara katika shule ya sekondari Laikala ujenzi wa vyumba 6 vya madarasa na matundu 8 katika shule ya sekondari Ibwaga ujenzi wa barabara ya lami nyepesi ya kilomita 0.4 ununuzi…
30 April 2024, 7:03 pm
Jengo alilotumia kamanda wa ANC Komred Mabuya
Katika mfulizo wa makala hii ya fahari ya Dodoma unafahamu vitu vingi ambavyo vinapatikana katika mkoa huu. Na Yussuph Hassan. Bado camera ya Fahari ya Dodoma ipo wialayani Kongwa leo tunalitazama jengo alilo litumia kamanda wa ANC Komred Mabuya je…
16 January 2024, 11:33 pm
Serikali yakabidhi vifaa vya wanafunzi wenye huitaji maalum Ngorongoro
Serikali imeendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazowafanya wanafunzi kushindwa kuendelea na na masomo ikiwemo kutoa vifaa vya kusomea kwa wanafunzi wenye huitaji maalum. Na Edward Shao. Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro imepokea vifaa maalum kwaajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum. Serikali…
14 March 2023, 1:14 pm
Wanafunzi watakao faulu kununuliwa mahitaji yote ya msingi Kongwa
Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kujipanga kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu. Na Alfred Bulahya. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa imepanga kuanza kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu na kuchaguliwa…