Radio Tadio

Wajawazito

15 June 2026, 16:29

Shekimweri aongoza mbio za pole kuuenzi mwenge wa uhuru

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Waandamizi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Dodoma, Shadaiya Hassan, alisema kuwa mbio hizo zimeandaliwa kwa lengo la kuendelea kuuenzi Mwenge wa Uhuru na kuhamasisha wananchi kuishi falsafa zake hata baada ya mbio…

21 September 2023, 16:38

Wajawazito watakiwa kufanya maandalizi mapema

Wataalamu wa Afya wanashauri kuwa mama mjamzito anatakiwa kuwa na maandalizi kabla ya kujifungua kwani kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili kuepukana na madhara mbalimbali yanayoweza kutokea. Na Naima Chokela.          Ushauri Umetolewa kwa Wajawazito  kuhakikisha wanafanya maandalizi kabla ya kujifungua…

20 September 2023, 14:55

Wajawazito waonywa kuepuka matumizi ya Pombe

Ili kupunguza vitendo vya matumizi ya pombe na dawa za kulevya katika jamii hususani kwa wajawazito wataalamu wa afya  wanaendelea kuhamasisha jamii kuachana na suala hilo kwani lina athari kubwa kiafya. Na Katende Kandolo. Akina mama wajawazito wametakwa kuachana na…