Radio Tadio

Viongozi

16 October 2023, 6:24 pm

Viongozi wa mitaa watakiwa kushirikiana na viongozi wa dini

Pamoja na hayo, kanisa hilo linategemea kupitia ushirikiano waliongia na Foundation for Hope utaongeza¬† hali ya upatikanaji huduma za kiroho kwa ujenzi wa makanisa, sambamba na huduma za kijamii ikiwemo zahanati, uchimbaji wa visima vya maji na mahitaji mengine .…

9 October 2023, 8:36 pm

Viongozi watakiwa kuacha kutumia nguvu za giza

Wito huo umetolewa na Askofu wa Kanisa la Pentecoste Christian International Thomas Kiula wakati wa tukio la Uzinduzi wa kanisa jipya na kumsimika Uchungaji wa kanisa hilo linalopatikana mtaa Ndachi kata ya Mnadani Dodoma Mjini. Na Seleman Kodima. Viongozi wametakiwa…