Radio Tadio

usajili

12 Disemba 2025, 4:33 um

Ukosefu wa elimu changamoto kwa makundi kupata mkopo wa 10%

wamesema kuwa endapo watapata mikopo ya asilimia kumi itawasaidia kukuza uchumi wa biashara zao kutoana na wanawae hao kuwa na mitaji midogo. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa ukosefu wa elimu kwa makundi ya wanawake na vijana ni moja ya changamoto inayokwamisha…

15 Julai 2023, 5:32 um

Geita Gold FC yaanza kusuka kikosi

Leo ni siku ya 15 tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili ambapo Julai 1, 2023 rasmi vilabu katika ngazi mbalimbali za ligi ziliruhusiwa kuongeza wachezaji kwaajili ya msimu mpya wa 2023/24. Na Zubeda Handrish- Geita Klabu ya Geita Gold…

11 Julai 2023, 10:21 um

Mashabiki wa soka Geita watamba usajili mpya

Dirisha kubwa la usajili limefunguliwa rasmi Julai 1, 2023 kwa ajili ya vilabu nchini kuingiza maingizo mapya yatakayowasaidia katika msimu mpya wa 2023/24, huku mapema vilabu hivyo vikianza usajili na kutangaza hadharani wakati vingine vikisajili kimya kimya. Na Zubeda Handrish…