Radio Tadio

ulevi

26 September 2024, 7:52 pm

Vifahamu visababishi vya ugonjwa wa macho

Na Yussuph Hassan.Tabibu Msaidizi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu Jiji la Dodoma Pepertua Kasase amesema kuwa  ugonjwa wa macho unaweza kusababishwa na historia ya mgojwa mwenyewe endapo kama alishawahi kupata ugonjwa huo siku za nyuma  au mazingira aliyopo kwa sasa.…

30 October 2023, 17:35

Songwe madereva wapigwa stop ulevi

Miongoni mwa sababu kubwa ya ajali za barabarani ni kwa baadhi ya madereva kutumia vilevi kupindukia wanapokuwa barabarani wakiendesha vyombo vya vya moto,baada ya kuini hili kumekuwepo na ukaguzi uanao fanywa na jeshi la polisi kwenye vituo vya kuazia safari…

5 October 2022, 1:50 pm

Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao

Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…