Radio Tadio

Tembo

20 August 2025, 5:59 pm

PPRA yafungua mafunzo mfumo mpya wa NeST

Serikali kupitia PPRA imesema moduli hiyo mpya inalenga kuondoa changamoto zilizojitokeza awali na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa mikataba ya umma, ili kuhakikisha thamani ya fedha na uwajibikaji vinaimarika. Na Seleman Kodima.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa…

21 September 2023, 4:58 pm

Ni kawaida tembo kurudi katika usharoba waliozoea?

Kwa asili hiyo ya Tembo pale wanapokuja katika makazi ya watu kuna mbinu mbalimbali hutumika kuwakabili, mbinu ambazo huzaa matunda mara moja. Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma inaendelea kukuelezea tukio la baadhi ya maeneo yaliyovamiwa na kundi la tembo Dodoma.…

20 September 2023, 3:29 pm

Fahamu maajabu na uvamizi wa Tembo katika vijiji

Je ni mbinu gani nzuri zinazo tumika kuwarudisha Tembo hifadhini pindi wanapo ingia katika makazi ya watu ? Na Yussuph Hassan. Fahari ya Dodoma leo imezungumza na Afisa wanyamapori jiji la Dodoma hapa anaeleza jinsi Tembo wanavyoingia katika vijiji na…

6 March 2023, 4:46 pm

Tembo wafanya uharibifu wa ekari zaidi ya 100

Tembo hao wamesababisha uharibifu mkubwa katika mashamba hayo na kuwaacha wananchi na sintofahamu. Na Alfred Bulahya Kundi la Tembo wanaokadiriwa kuwa zaid ya 300 wamevamia mashamba ya wananchi katika kijiji cha Magungu Kubi katika kata ya Mpendo walayani Chemba na…