TEHAMA
15 August 2024, 6:09 pm
Nafasi ya wadau katika upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Bado tupo na Dkt Fransic Andrew kutoka Hospitali ya Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI) hapa anatueleza zaidi. Na Seleman Kodima.Leo tunaangazia nafasi ya wadau katika kuhakikisha wanafanikisha suala la upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi kwa…
13 August 2024, 4:23 pm
Leo tunaangazia Ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi kwa Vijana
Kutokana hali hiyo Taswira ya Habari leo tunawatazama Vijana ambapo ni Wahanga wa ukosefu wa elimu hii . Na Seleman Kodima.Ukosefu wa Elimu ya afya ya uzazi imekuwa ikitajwa kama sababu ya kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika…
29 January 2024, 8:59 pm
Serikali kuanza ujenzi wa chuo mahiri cha Tehama jijini Dodoma
Mradi huo unatarajia kuhusisha ujenzi wa vyuo viwili katika eneo la Nala jijini Dodoma Na mkoa wa kigoma. Na Thadei Tesha.Serikali kupitia Wizara ya habari na Teknolojia ya habari inatarajia kuanza ujenzi wa chuo mahiri cha Tehama katika eneo la…
15 August 2023, 2:32 pm
Serikali yazindua kituo cha umahiri wa masuala ya afya kidigitali
Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA Wizara ya Afya Bw. Silvanus Ilomo amefafanua namna kituo hicho kitakavyosaidia kuboresha huduma za afya. Na Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amezindua Kituo cha Umahiri katika masuala ya afya kidigitali (Center…
13 June 2023, 1:55 pm
Elimu ya TEHAMA yachochea idadi ya wasichana nyanja ya teknolojia
Na Mindi Joseph. Wanafunzi wa kike wamesema uwepo wa elimu ya TEHAMA inayotolewa na wadau imechochea kuongeza idadi ya wasichana kwenye nyanja ya teknolojia. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mnadani sekondari wamesema elimu hiyo…
23 March 2023, 11:26 am
UCSAF yatoa mafunzo ya Tehama kwa wasichana shule za sekondari Nchini
Itakumbukwa kuwa siku ya kimataifa ya msichana katika TEHAMA inaadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 27 AprilĀ lengo likiwa niĀ kuchochea harakati za dunia katika kuongeza idadi ya wasichana na wanawake kwenye nyanja ya teknolojia. Na Mariam Matundu. Katika kuelekea siku…