TARURA
19 November 2023, 4:37 pm
Madiwani Maswa wakerwa na majibu ya TARURA
TARURA wilayani Maswa mkoani Simiyu inayohudumia mtandao wa barabara wenye jumla ya Km 184.2 na iliyofikia 77% ya Barabara zinazopitika kwa nyakati zote za msimu sawa na km 837.39 imelalamikiwa kwakushindwa kupeleka kwa wakati wakandarasi kwenye baadhi ya Barabara Wilayani…
5 April 2023, 1:21 pm
Tozo za mafuta na dizeli kujenga km 36 barabara wilayani Bahi
Kukamilika kwa barabara hiyo ambayo inajengwa kwa kiwango cha changarawe kutachochea maendeleo ya wananchi wa maeneo hayo. Na Benard Magawa Zaidi ya shilingi Millioni 919 za Tozo ya mafuta ya dizeli na Petrol kutoka serikali kuu zinatarajia kukamilisha ujenzi wa…
17 February 2023, 1:55 pm
TARURA yakamilisha marekebisho ya barabara kata ya Chiboli
Marekebisho hayo yanapunguza adha ya wananchi wa kata hiyo kusafiri Umbali wa kilometa zaidi ya ishirini na nane kwa usafiri wa pikipiki. Na Victor Chigwada Diwani wa Kata ya Chiboli Wiliamu Teu ameishukuru mamlaka ya usimamizi barabara za vijijini na…
2 February 2023, 10:46 am
TARURA kutatua changamoto ya barabara Chamwino
Wakala wa barabara vijiji na mijini Tarura inatarajia kutatua changamoto ya barabara wilayani Chamwino kupitia bajeti ya mwaka 2023/2024. Na Seleman Kodima. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Chamwino imesema inatarajia kutatau changamoto ya Miundombinu ya Barabara katika…
1 February 2023, 2:38 pm
Bilioni 4.2 Kutengeneza na Kukarabati Barabara wilayani Maswa
Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini ( TARURA) Wilayani Maswa Mkoani Simiyu imepanga kutumia Zaidi ya Tsh, Bilioni 4.22 kwa mwaka wa Fedha 2023/ 2024 katika Kukarabati na Kutengeneza Mtandao wa Barabara.. Akiwasilisha Taarifa ya Makadirio hayo ya Fedha…
14 February 2022, 5:40 pm
Jamii imetakiwa kuichukulia siku ya valentine kuwa ni siku ya kuonyesha upendo k…
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha dhana potofu kuwa siku ya wapendanao ni siku ya watu waliopo kwenye ndoa na badala yake siku hiyo itumike kuonesha upendo kwa kila mtu katika jamii. Hayo janajiri kufuatia dhana iliyopo katika jamii asilimia…