Radio Tadio

sengerema

3 July 2023, 12:29 pm

TANESCO wakata umeme chanzo cha maji Sengerema

Kutokana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Sengerema SEUWASA kukabiliwa na malimbikizo ya deni la umeme kiasi cha shilingi milioni mia tatu, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekata huduma ya umeme katika chanzo cha maji kilichopo Nyamazugo.…

16 July 2022, 3:55 pm

Waziri Makamba atoa ahadi hii kwa wananchi Sengerema

Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba  amewahidi  wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea  adha hiyo inayowakabili  kwa muda mrefu . Waziri  Makamba amesema hayo wakati akizungumza  na wananachi  katika mkutano wa hadhara…

21 September 2021, 12:51 pm

Jamii yaaswa kuacha kutupa ovyo barakoa zilizo tumika

Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha kutupa hovyo barakoa zilizotumika ili kuepuka kusababisha magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa. Hayo yameelezwa na afisa afya wa jiji la Dodoma Abdallah Mahiya wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu athari za utupaji…