Sayansi
11 Febuari 2026, 8:12 um
GECA yahimiza wasichana kuingia sekta ya sayansi Ifakara
Kupitia juhudi hizi, GECA na washirika wake wanaendelea kuweka msingi imara wa kizazi kipya cha wanawake wanasayansi watakaobadilisha dunia. Na Katalina Liombechi Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Wasichana na Wanawake katika sayansi leo Februari 11,2026 Chini ya shirika la UNESCO,Shirika…
16 Septemba 2025, 3:33 um
UDOM yafungua rasmi mafunzo ya akili unde (AI)
Lengo kuu ni kuongeza uelewa na matumizi ya teknolojia ya Akili unde katika shughuli za maendeleo nchini. Na Seleman Kodima.Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimezindua rasmi mafunzo ya Akili Unde(AI), kwa kushirikisha wanafunzi pamoja na taasisi mbalimbali kutoka sekta binafsi…
26 Septemba 2023, 10:29
Vitabu 4,559 vya sayansi kusambazwa wilayani Malinyi
Wakuu wa shule za sekondari wilayani Malinyi katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vitabu na kaimu mkurugenzi mtendaji wilaya bwana Gasto Silayo kwenye hafula iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi nawigo. Picha na Jackson Machoa. Vitabu hivyo vitasaidia…
13 Juni 2023, 1:11 um
Ndaki ya sayansi UDOM yaanza programu huduma kwa jamii masomo ya sayansi
Wana mpango wa kuweka ushirikiano na jiji la Dodoma idara ya elimu ili kufkia shule nyingi zaidi . Na Mariam Matundu. Ndaki ya sayansi asilia na hisabati kutoka chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wameanza programu ya huduma kwa jamii katika…