Nzuguni
18 July 2024, 4:24 pm
Matumizi sahihi ya ARV yanasaidia kuboresha afya
Dkt. Janet Mtenga ameshauri jamii kujenga utamaduni wa kupima VVU na kutumia kwa usahihi dawa za kufubaza virusi vya ukimwi ARVs. Na Yussuph Hassan.Imeelezwa utumiaji kwa usahihi matumizi ya dawa za kufubaza Virusi Vya Ukimwi ARV inasaidia kuboresha afya na…
27 November 2023, 5:28 pm
Mradi wa maji Nzuguni wafikia asilimia 96
Hatua hii ni moja ya njia ya kukabiliana na changamoto ya maji katika jiji la Dodoma ambapo Mradi wa Maji nzuguni unatarajia kuongeza hali ya uzalishaji wa maji kwa asilimia 11 na kuwanufaisha wakazi zaidi ya Wakazi 37,929 katika kata…
7 August 2023, 12:34 pm
Hali ya upatikanaji wa maji Dodoma kubadilika ifikapo Septemba
Mradi wa maji Nzuguni unatarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji kutoka wastani wa lita mlioni 68.7 mpaka milioni 76.3 kwa siku sawa na ongezeko la 11.4% ya uzalishaji wa sasa, na litapunguza mahitaji kwa 11.7% ya mahitaji ya sasa ya lita…
8 May 2023, 4:27 pm
Diwani Nzuguni atakiwa kushughulikia changamoto yamigogoro ya  viwanja
Mradi wa Visima vya Maji Nzuguni utaandika historia kwa wananchi kutokana na eneo hilo Tangu uhuru halijawahi kuwa na chanzo cha maji safi na salama. Na Mindi Joseph. Diwani wa kata ya Nzuguni Aloyce Luhega ameomba kushughulikiwa changamoto ya Migogoro…
3 April 2023, 6:05 pm
Visima Nzuguni vitaongeza upatikanaji wa maji kwa asilimia 75
kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya 2022 idadi ya watu katika Mkoa wa Dodoma imeongezeka kutoka milioni 2.085 ya mwaka 2012 hadi milioni 3.085, ongezeko hilo limekuja na upungufu wa huduma mbalimbali ikiwemo ya maji. Na Mindi…
10 March 2023, 4:37 pm
Nzuguni waeleza kunufaika na Barabara
Wakazi hao wameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara inayoelekea Nzuguni B sambamba na kutoa elimu ya matumizi ya alama za barabarani. Na Thadei Tesha Baadhi ya wananchi wanaojishughulisha na biashara mbalimbali katika eneo la Nzuguni Boda jijini Dodoma wamesema kukamilika…