Radio Tadio

Ndege

26 September 2024, 7:51 pm

Kuvunjika kwa ndoa ni pigo kwa watoto

Na Lilian Leopold                 Kutengana kwa wazazi  katika ndoa kumeathiri watoto kwa kiasi kikubwa hasa katika suala la malezi. Baadhi na wazazi mkoani Dodoma wametoa maoni yao juu ya athari zinazowakabili watoto juu ya kuvunjika kwa ndoa. Wakitaja baadhi ya athari…

7 December 2023, 1:43 pm

Ndege kuruka saa 24 Arusha

Uwanja wa ndege wa Arusha ni uwanja unaoongoza kwa kupokea ndege nyingi kuliko viwanja vyote nchini Tanzania lakini hautumiki kwa saa 24 kwa sababu ya kukosa taa. Na.Anthony Masai Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza kuweka taa katika…

29 March 2023, 5:38 pm

Serikali yaanza kudhibiti ndege waharibibu Bahi

Na Fred Cheti. Serikali wilaya Bahi imesema tayari imeshaanza kuchukua hatua ili kuwaangamiza ndege hao. Ndege hao aina ya Kwerea Kwerea wanaoharibu mazao katika vijiji vya Lukali,Mundemu ,Mayamaya na Zanka vilivyopo wilayani Bahi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa wilaya ya…