Mwenge
9 July 2025, 3:50 pm
Tamaa chanzo cha baadhi ya wanafunzi kubadili tabia?
Dodoma Tv imezungumza na baadhi ya Wanafunzi ili kujua sababu inayopelekea mabadiliko ya tabia. Na Farashuu Abdalla. Imeelezwa kuwa mabadiliko ya tabia kwa baadhi ya Wanafunzi wa Elimu ya juu pindi wanapoingia vyuoni imekuwa ni huzuni na janga katika jamii.…
19 May 2023, 2:57 pm
Miradi 9 kumulikwa na mwenge wa uhuru Pangani
Na Saa Zumo Miradi tisa ya kimaendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.8 inatarajiwa kukaguliwa katika mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika kikao cha tathmini ya mapokezi ya mwenge wilayani Pangani…
11 April 2023, 8:46 PM
Mapokezi ya mwenge wa uhuru halmashauri ya mji Masasi
makabidhiano ya Mwenge wa uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Ndg Elias Ntiruhungwa. Ukiwa Halmashauri ya Mji Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Kilometa 81 na utapita katika Miradi 5…