Marburg
28 October 2025, 3:05 pm
Jeshi la Polisi lajipanga kuhakikisha amani na usalama uchaguzi
Jeshi la Polisi limewataka wananchi, vyama vya siasa na wadau wote wa uchaguzi kushirikiaa na vyombo vya usalama ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na uwazi. Na Anwary Shaban.Jeshi la Polisi mkoani limetoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu…
3 September 2025, 5:50 pm
Usalama wa wanahabari kipaumbele cha jeshi la polisi-IGP Wambura
Na Yussuph Hassan.Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongosso Wambura, amesisitiza kuwa usalama wa waandishi wa habari ni suala la kipaumbele kwa Jeshi la Polisi, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba…
2 September 2025, 4:43 pm
Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi matukio ya utekaji
Na Yussuph Hassan.Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote…
16 July 2025, 3:17 pm
‘Askari wanawake ni tija kwa taifa’
Hata hivyo ikumbukwe kuwa askari wa kike ni mama kama mama wengine na wanafanya majukumu yao ya kila siku ya kuhudumia familia na watoto ukiachilia mbali na majukumu yake ya kazi. Na Lilian Leopord. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma…
6 March 2025, 5:34 pm
Jeshi la polisi Manyara lamfariji mjane kwa kumkabidhi kiwanja
Miaka kadhaa iliyo pita alimpoteza Mume wake Hali ya maisha yake ilibadilika na kupelekea yeye na familia yake kukosa mahali pa kuishi. Na Kitana Hamis.Jeshi la Polisi Wilayani Babati Mkoani Manyara limemfariji Mjane Mwenye Watoto Sita kwa kumkabidhi kiwanja na…
10 February 2025, 6:12 pm
Akamatwa kwa kusafirisha dawa za kulevya
Jeshi polisi Mkoa wa Dodoma limetoa onyo kwa wote wanaojihusisha na uhalifu na kutoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yao. Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia kijana anaefahamika kama Omar Bakari…
13 August 2024, 3:23 pm
Jeshi la polisi lamshikilia mmoja kifo cha msanii Man Dojo
Watu Wawili wilayani Bahi wameuwawa baada ya kushambuliwa sehemu mbalimbali na kuchomwa moto katika gari . Na Seleman Kodima.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia RAPHAEL KENETH NDAMAHNUWA, mwenye umri wa miaka 26 Mkazi wa Nzuguni B kwa ajili ya…
2 June 2023, 10:17 pm
Homa ya marburg Kagera yatokomezwa
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameutangazia ulimwengu kuwa Kagera na Tanzania ni salama dhidi ya ugonjwa wa marburg na kwamba hakuna tena ugonjwa huo. Pamoja na hayo waziri Ummy pia amewashukuru watumishi wa wizara ya afya pamoja na mashirika ya…
30 March 2023, 6:52 pm
Zaidi ya wananchi 2249 wapatiwa elimu ya kujikinga na MARBURG
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imefanikiwa kufikia makundi mbalimbali ya watu ikiwemo wahudumu wa afya ngazi jamii na Wahudumu wa Afya Vituoni. Na Mindi Joseph. Elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Marburg imeendelea kutolewa kwa kila mtanzania…
22 March 2023, 6:26 pm
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Marburg
Ugonjwa huu huambukizwa kutoka kwa Binadamu mmoja kwa mwingine hususani kwa njia ya kugusa majimaji ambayo yanaweza kuwa mate , mkojo, damu, machozi au kinyesi yatokayo kwenye maiti au Mgonjwa mwenye dalili, maambukizi pia yanaweza kutoka kwa Wanyama kwenda kwa…