Maliasili
1 December 2025, 4:27 pm
Serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo
Sheria ya Ununuzi wa Umma imeelekeza taasisi zote za umma kutenga asilimia 30 ya manunuzi yote kwa ajili ya makundi maalumu wakiwemo vijana ili kuongeza ushiriki wao katika uchumi wa Taifa, Na Anwary Shaban.Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuwaamini vijana na…
14 November 2023, 6:40 pm
Yafahamu makundi na mgawanyiko wa majukumu ya nyuki kwenye mzinga
Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga. Na Yussuph Hassan. Nyuki wamegawanyika katika aina kuu mbili pamoja na mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.
5 July 2023, 1:54 pm
Mtoto afariki kwa kushambuliwa na Fisi
Kutokana na kuongezeka kwa matukio ya Fisi kushambulia watu na mifungo wilayani sengerema, hali hiyo imezua hofu, huku baadhi yao wakishindwa kufanya shughuli za maendeleo Na:Emmanuel Twimanye Mtoto mwenye umri wa miaka 5 aliyeshambuliwa na Fisi na kujeruhiwa sehemu mbalimbali…