Makazi
27 April 2026, 13:23
Wanufaika wa TASAF Msamalo waishukuru serikali
Muhuri amewataka Wananchi kutumia fedha hizo Kwa manufaa ili waweze kubadilisa maisha yao na kuanza kuishi Kwa kujitegemea. Na Victor Chigwada. Wanufaika na walengwa wa mfuko wa kusaidia kaya masikini TASSAF katika kijiji cha Msamalo wameishukuru serikali kupitia mfuko huo…
11 December 2025, 16:53
TASAF yaboresha maisha ya wakazi wa Igandu
Tofauti na hapo awali ambapo baadhi ya watoto walikaa majumbani Kwa kukosa uwezo wa kumudu kununua viafaa vya shule. Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kijiji Cha Igandu Wilaya ya Chamwino wameipongeza Serikali kupitia mfuko wa TASAF Kwa kusaidia kuboresha maisha ya…
16 August 2024, 13:51
Nini kifanyike TASAF iwafikie walengwa sahihi?
Dodoma TV Imepita Mtaani Kuzungumza na baadhi ya hapa Wananchi Jijini Dodoma kuhoji je nini kifanyike ili wanufaika wa Mfuko huo wawe ni walengwa sahihi. Na Fred Cheti.Kulingana na Takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS asilimia nane ya…
22 October 2023, 7:40 am
Wananchi Ileje wajitolea kujenga nyumba ya mtoa huduma wa afya
Na Denis Sinkonde, Ileje Wananchi wa kijiji cha Izuba kata ya Isongole wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wanatarajia kumaliza ujenzi wa vyumba ya wahudumu wa zahanati ya Izuba ili kuwaondolea adha wahudumu wa zahanati hiyo kuishi mbali. Hayo yamebainishwa…
15 December 2022, 9:56 pm
Majaliwa agawa nyumba kwa watumishi wa serikali Mlele
MLELE Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amezigawa nyumba Kwa watumishi wa serikali katika halmashauri ya wilaya ya Mlele kutokana na kutokaliwa na watu na kuharibika. Ameyasema hayo wakati akizungumza na watumishi wa umma wa halmashauri hiyo ambapo…
15 December 2022, 10:17 am
Majengo mapya kujengwa katika makao makuu ya tarafa Tanganyika
TANGANYIKA Katika kuimarisha huduma za kimahakama mkoani Katavi Serikali imejipanga kujenga majengo mapya katika makao makuu ya tarafa zote wilayani Tanganyika. Hayo yamesemwa na naibu waziri wa katiba na sheria Geofrey Pinda wakati wa ziara ya waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
22 November 2021, 11:54
Wakazi wa Ihumwa waulalamikia mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF)
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Ihumwa Wilaya ya Dodoma mjini wameulalamikia mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF)juu ya vigezo walivyo zingatia katika usajili wa watu wenye uhitaji wa kusaidiawa na mfuko huo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya…