Radio Tadio

jamii

20/02/2026, 17:58

Ulinzi waendelea kuimarishwa Mtumba na viunga vyake

Aidha ameongeza kuwa Hali hiyo inaweza kuchangia na kusahaulika Kwa majukumu ya kiulinzi na usalama na kupelekea kurejea Kwa matukio hayo. Na Victor Chigwada. Mkuu wa kituo Cha polisi Wilaya ya Mtumba kamanda OCD Issa Chau ameeleza  Hali ya ulinzi…

02/09/2025, 16:43

Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi matukio ya utekaji

Na Yussuph Hassan.Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote…

02/07/2025, 10:21

Afariki dunia baada ya kushambuliwa na fisi

Jitihada za kumwokoa hazikufanikiwa. Na Kitana Hamis.Kijana mmoja aitwaye Fredy Peter, mkazi wa Kijiji cha Seleto, Dareda Misheni, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na kundi la fisi . Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo,…

14/08/2024, 16:48

Wazazi wazua taharuki taarifa za kutekwa kwa mtoto

Dodoma TV Inaendelea kufatilia tukio hili kwa ukaribu ili kujua ukweli kuhusu madai ya Mtoto kutekwa na Watu wasiojulikana ambao kulingana na maelezo ya Watoto wenzake wanasema mwenzao aliitwa na Watu waliokuwa kwenye Gari na kumchukua kisha kuondoka nae. Na…

01/08/2024, 16:38

Bado tunautazama Mtaa wa Swaswa

Tuna vijana ambao wamepewa mafunzo na inspekta wa kituo cha polisi hapa mtaani hii inasaidia sana kuhakikisha usalama na ulinzi wa hapa. Na Yussuph Hassan.Na leo tena katika kipindi chetu tunaendelea kuangalia ni kwa jinsi gani mtaa huo umebarikiwa mandhari…