Radio Tadio

Imani

7 September 2023, 10:21 pm

Akamatwa akituhumiwa kunajisi kanisa, lafungwa siku 30

Tukio la kunajisiwa Kanisa ni la pili kutokea mkoani Geita ikiwa ni miezi sita imepita baada ya kijana mmoja mkazi wa Geita kudaiwa kuvamia Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita na kufanya uharibifu uliosababisha hasara ya Sh. milioni 48.2.…

4 February 2023, 11:08 AM

Mapadre na Watawa waombwa kutumia hekima na busara

Na Lawrence Kessy Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Mhashamu Askofu Lazarus Vitalis Msimbe, SDS amewaomba mapadre na watawa kutumia hekima na busara za mababa wa Kanisa waliobobea kupitia maandiko mbalimbali ili wapate miongozo ili kupata uzoefu katika maisha ya…