Radio Tadio

DUWASA

30 April 2024, 6:45 pm

Kaulimbiu ya TEF yamkosha Naibu waziri mkuu

Hapo jana April 29 Jukwaa la wahaariri TEF lilizindua mkutano wa 13 hapa jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika mkutano huo alikuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe Dkt Dotto Biteko . Na Mariam Kasawa.Kaulimbiu ya mkutano wa…

15 August 2023, 9:55 am

Mabadiliko ya bei kuongeza upatikanaji wa maji Dodoma

Ongezeko hilo la bei za maji limechangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya kiuchumi duniani. Na Selemani Kodima. Baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) Kuweka wazi mabadiliko ya bei za huduma za maji zitakazoanza kutumika…

28 July 2023, 4:48 pm

Mradi wa maji Nzuguni sio porojo, wafika asilimia 76

Mradi wa Nzuguni unatarajiwa  kuongeza uzalishaji wa maji  kutoka wastani wa lita mlioni 68.7 mpaka milioni 76.3 kwa siku sawa na ongezeko la 11.4% ya uzalishaji wa sasa, na litapunguza mahitaji kwa 11.7% ya mahitaji ya sasa ya lita 133.4…

2 June 2023, 1:21 pm

Wakazi kata Ntyuka kuondokana na adha ya maji

Na Selemani Kodima. Wakazi  4,441 wa mitaa ya Chimalaa na Nyerere   kata ya Ntyuka  jijini Dodoma wanatarajiwa  kuondokana na adha ya kutopata uhakika wa  maji safi na salama  baada ya uzinduzi wa mradi wa maji  wa Ntyuka Chimalaa kukamilika  .…

31 May 2023, 5:11 pm

DUWASA kuchimba visima 30 kuanzia Julai

Hadi kufika mwaka 2051 Duwasa inatarajia kuzalisha lita za maji milion 417 kwa siku. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA)  inatarajia kuchimba visima 30 vya maji katika maeneo yote mkoani Dodoma kuanzia mwezi…

2 May 2023, 3:06 pm

DUWASA kutatua changamoto ya maji Nala

Mkoa wa Dodoma, umekuwa na Uendelezaji wa vyanzo vya maji (uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa) kwa kutumia vyanzo vikuu kama vile Uchimbaji wa visima virefu 34. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma imesema…