BANDARI
23 Machi 2026, 17:27
Machimbo yageuka tishio kwa wananchi Zuzu
Ameeleza kuwa suala hilo tayari liliwasilishwa kwa Mkurugenzi wa Jiji ambapo uchimbaji ulisitishwa kwa muda, lakini baadaye ukaendelea tena. Na Mariam Kasawa. Diwani wa Kata ya Zuzu, Jenesta Project Malingo, amesema anaendelea kufuatilia malalamiko ya wananchi wa Mtaa wa Sokoine…
11 Oktoba 2023, 11:43
Ujenzi bandari ya Lagosa ziwa Tanganyika wafikia 96%
Hatua ya kuanza ujenzi wa Bandari ya Lagosa iliyopo Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma inatajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wanatumia ziwa hilo kusafirisha bidhaa zao ikiwmo Nchi jirani za Congo na Burundi. Na Tryphone Odace Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa,…
Agosti 31, 2023, 2:24 um
Bandari tatu zatengewa Bilioni 60
Waandishi wa Habari mkoani shinyanga wametakiwa kuwa mstari wa mbele kwenye jamii katika kuizungumzia Bandari na matumizi yake ili wananchi waweze kufahamu matumizi yake na umhimu wake. Hayo yamesemwa na Afisa Bandari ya Isaka-Kahama mkoani Shinyanga, Abeli Mshang’a wakati akizunguzma…