Storm FM
Storm FM
29 October 2025, 11:30
Wananchi na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma wamejitokeza kupiga kura leo katika maeneo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa matakwa ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao Na Josephine Kiravu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa hii leo…
29 October 2025, 10:01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma leo tarehe 29 Oktoba 2025. Na…
23 October 2025, 10:00 am
“Sisi kama wasimamizi tunatamani Uchaguzi ufanyike kwa amani kwa kufata sheria na taratibu zote za uchaguzi kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi na kila mmoja afanye yale yanayomuhusu kwa kuzingatia amani na utulivu.” Na Theresia Damas Katika mwendelezo wa…
22 October 2025, 8:47 pm
“Wananchi acheni kudanganyana kuandamana bila sababu za msingi bali mnatakiwa muandamane kwenda kupiga kura na kuwachagua viongozi sahihi.“ Na Theresia Damasi Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa kigoma Kamishna msaidizi mwandamizi Emmanuel Filemon Makungu amewataka wananchi wa mkoa wa…
22 October 2025, 09:36
Wakati ikiwa imebaki wiki moja kabla ya kufika siku ya uchaguzi Mkuu utakaofanyika oktoba 29, 2025 wananchi wameaswa kufuatilia taarifa na vituo vyao mapema ili waweze kuhudhuria kupiga kura Na Hagai Ruyagila Wananchi katika Halamashauri ya mji wa Kasulu Mkoani…
20 October 2025, 6:54 pm
wananchi mfike kwenye vituo vya kupiga kura ili kutambua mapema kama majina yenu yapo kwenye orodha Na Emmanuel kamangu Wananchi wilayani kasulu wamearifiwa kuhakikisha wanafahamu kwa wakati vituo watakavyopigia kura kabla ya siku yenyewe ya octoba 29 ambayo ni siku…
18 October 2025, 8:54 pm
Kiboye amesema Chama Cha Mapinduzi kilishafanya maamuzi yake hata kama aliyechaguliwa ulikuwa humpendi ila kwa sasa huyo ndiye aliyeonekana na chama kuwa anafaa. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanachama wa chama cha mapinduzi kuacha makundi na kuhakikisha wanawapigia wagombea…
16 October 2025, 19:55
Na Hagai Ruyagila Chama cha NCCR – Mageuzi kimewataka wananchi wote wenye nia ya kuanzisha maandamano kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, kuachana mara moja na mpango huo, kikisisitiza kuwa maandamano hayo yanaweza kuhatarisha amani na usalama wa taifa.…
15 October 2025, 14:36
Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchuguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kampeni zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini huku wanawake nao wakiwa hawajaachwa nyuma katika kushiriki uchaguzi.
13 October 2025, 11:45 am
Mgombea udiwani kata ya Nyasura Magigi Samwel Kiboko aahidi akichaguliwa malengo yake ni kuhakikisha kinajengwa kituo cha afya chenye hadhi ya hospitali ya wilaya katika kata ya Nyasura. Na Catherine Msafiri Mgombea udiwani kata ya Nyasura Magigi Samwel Kiboko ameendelea…