Storm FM

Wafanyabiashara

31 July 2025, 8:28 pm

NMB kuendelea kuwainua wafanyabiashara Geita

Wafanyabiashara hao wameipongeza benki ya NMB kwa  kuwapatia mafunzo juu ya elimu ya fedha na mikopo Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani Geita imewataka wafanyabiashara kuhakikisha wanamiliki leseni halali za biashara huku ikisisitiza kuwa hatua hiyo itawasaidia…