Storm FM

usalama

30 September 2025, 7:16 pm

Wazazi watakiwa kuwekeza elimu kwa watoto

Na Marino Kawishe  Wazazi na Walezi wamehimizwa kutokuchoka kujinyima na kuwekeza kwa watoto wao ili wapate elimu bora itakayowasaidia kuchangamkia fursa mbali mbali  wanapokuwa wamehitimu mafunzo yao. Akizungumza na wananchi mkoani Manyara kwenye mahafali ya kumi ya shule ya Amka…

25 September 2025, 7:47 pm

Je, unajua magari ya mizigo hayaruhusiwi kubeba abiria?

Jeshi la Polisi limeendelea kutoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi kwa njia ya amani, na kuwahakikishia kuwa ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ili kuhakikisha uchaguzi huru, wa haki na salama. Na Mary Julius. Kamanda wa Polisi Mkoa wa…

25 September 2025, 7:21 pm

Kesi za udhalilishaji, polisi yataka ushirikiano wa jamii

Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limewataka wananchi kuwa na uelewa wa vigezo vya kisheria vinavyohitajika ili kesi za udhalilishaji ziweze kufikishwa mahakamani na haki kutendeka kwa waathirika.Akizungumza katika mahojiano maalum na Zenji FM, Mkuu wa…

23 September 2025, 8:30 pm

DC Sitta; Lindeni miundombinu ya shule

Bweni hilo litasaidia wanafunzi kupata Muda wa kusoma na kuongeza ufaulu. na Joyce Buganda Walimu wilaya ya Iringa wametakiwa kuhakikisha wanawasimamia ipasavyo wanafunzi kulinda na kutunza miundombinu ya shule. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mabweni katika Shule ya Sekondari William…

12 September 2025, 6:18 pm

Polisi wamshikilia kijana kwa mauaji baada ya ugomvi wa biashara

Na Omar Hassan. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Mohamed Khamis Hamadi maarufu Edi Mkono(25) Mkazi wa Tunguu Mchamvyani kwa tuhuma za mauaji.Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa PolisI Mkoani Tunguu – Kusini Unguja (SACP) Daniel Shillah…

11 September 2025, 8:39 pm

Magari mapya 25 kuongeza ufanisi wa polisi Zanzibar

Na Omar Hassan. Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Kombo Khamis Kombo amekabidhi magari mapya 25 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Wakuu wa Vitengo vya Polisi ambazo zimetolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya kuboresha…

10 September 2025, 9:42 pm

Magari yenye namba feki yakamatwa Zanzibar

Na Mary Julius. Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limewakumbusha wananchi wanaotaka kuweka namba au majina binafsi kwenye magari yao kuhakikisha wanazingatia utaratibu uliowekwa kwa kwenda kusajili namba hizo katika Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA).Akizungumza na waandishi wa habari, huko…