

October 1, 2023, 7:09 pm
Kupitia maonesho ya 6 ya kimataifa ya madini EWURA CCC iliendelea kutoa huduma ya kupokea malalamiko na kuyafanyia kazi kutoka kwa wateja wa huduma ya nishati na maji, wingi wa malalamiko yalipelekea EWURA CCC kutoa tahadhari. Na Zubeda Handrish- Geita…
September 18, 2023, 10:31 pm
Shule ya sekondari Lutozo iliyopo katika Mamlaka ya mji mdogo Katoro, ina walimu wawili wa bailojia ambao hulazimika kufundisha wanafunzi 2,049 yenye jumla ya mikondo 26 kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne. Na Said Sindo- Geita Shule hiyo…
September 17, 2023, 2:20 pm
Wilaya ya Nyang’hwale imeanza kudhibiti changamoto ya watoto wa kike kuozeshwa baada ya kumaliza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka huu. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita Grace Kingalame ametoa onyo kwa wazazi na walezi…
August 29, 2023, 11:08 am
Wazazi na walezi wenye wanafunzi wa kidato cha tano waliopangiwa katika shule ya sekondari Mbogwe Mkoani Geita wawaruhusu kwenda shule kwani idadi ya wanafunzi walioripoti ni ndogo. Na Mrisho Sadick: Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa…
July 26, 2023, 7:39 pm
Kutokana na changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za msingi wilayani Geita Mgodi wa GGML umejitosa kuisaidia serikali kukabiliana na changamoto hiyo. Na Kale Chongela: Mgodi wa Geita Gold Mining Limited GGML umekabidhi madawati 3,000 kwa ajili ya shule…
July 24, 2023, 1:38 pm
Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Katoro wilayani Geita wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajengea bweni ambalo limegharimu kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 150. Serikali imeendelea kuboresha mazingira kwa wanafunzi wenye…