Storm FM
Storm FM
12 December 2025, 6:19 pm
Viongozi wa walmashauri ya Mpanda katikati ni mkuu wa wilaya Jamila Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Kwa mwaka 2025/2026 halmashauri imejipanga kupokea na kukusanya jumla ya billion 7” Na Samwel Mbugi Halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi imepanga…
8 December 2025, 4:36 pm
“Inanipa uhuru wa kupumua na kuwa na afya njema” Na John Benjamin Baadhi ya vijana wilaya Mpanda mkoani Katavi wametaja matumizi ya njia za uzazi wa mpango yana mchango katika kuboresha ustawi wa jamii na mahusiano ya kifamilia. Wakizungumza na…
8 December 2025, 3:03 pm
“Kukamilisha malengo kwanza unatakiwa uwe na msimamo” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni yao kuhusiana na umuhimu wakujiwekea malengo ili kuboresha maisha yao binafsi. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi hao wamesema…
6 December 2025, 1:02 pm
“Mji wetu unapaswa uwe msafi” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya mpanda Jamila Yusuph amewataka madiwani wa kata zote za manispaa mkoani Katavi kusimamia usafi wa mazingira bila kusubiri wakuu wa idara husika ili kusaidia kutopata magonjwa yatokanayo na…
3 December 2025, 3:56 pm
“Wawe makini katika kuangalia tabia na marafiki walionao” Na Anna Mhina Vijana mkoani Katavi wametakiwa kuwa makini katika kuchagua marafiki wa kuambatana nao ili kuweza kuepuka kujiunga na makundi mabaya yatakayohatarisha maisha yao. Akizungumza na Mpanda radio FM afisa maendeleo…
November 27, 2025, 6:22 pm
kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Mbozi Hamad Mbega inadaiwa diwani huyo alifanya maamuzi ya kunywa maji ya betri kutokana na msongo wa mawazo. Na Denis Sinkonde,Mbozi Aliyekuwa diwani mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya…
22 November 2025, 11:18 am
“Nataka hizo wiki mbili nione kazi ya maana imefanyika” Na Benny Gadau Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa daraja la Mirumba lenye thamani ya zaidi ya billion 6 katika halmashauri ya Mpimbwe mkoani…
22 November 2025, 10:31 am
Waziri Mbarawa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa bandari hiyo. Picha na Samwel Mbugi “Sasa tunajenga meli nne kwa mpigo” Na Samwel Mbugi Waziri wa uchukuzi Makame Mbarawa amelizishwa na utengenezaji wa meli nne zinazotengenezwa bandari ya Karema mkoani…
18 November 2025, 6:59 pm
Afisa ustawi manispaa ya mpanda Anyulumye Longo. Picha na Leah Kamala “Vikao vinasaidia kusuluhisha migogoro” Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameitaka jamii kujenga mazoea ya kukaa na kuzungumza katika vikao vya familia. Wakizungumza…
17 November 2025, 12:59 pm
“Lengo ni kutoa fursa kwa ajili kuongeza uzalishaji wa mafuta ya alizeti” Na Restuta Nyondo Kuanzishwa kwa jukwaa la wadau wa zao la alizeti mkoani Katavi kunatajwa kama mwanzo wa utatuzi wa uhakika kwa baadhi ya changamoto zinazokabili kilimo cha…