Maji
26 April 2024, 10:30 am
RUWASA mkoani Simiyu yatakiwa kulipa wakandarasi kwa wakati
Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) mkoani Simiyu kuwalipa wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali kwa wakati ili kuondokana na kuisababishia serikali hasara itokanayo na ucheleweshaji wa malipo. Na,Daniel Manyanga Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa…
16 April 2024, 7:32 pm
Itilima wakosa huduma ya maji safi na salama kwa wiki tatu
Watembea umbali wa kilomita 3 kufuata huduma ya maji safi na salama kufuatia mota ya kusukuma maji kuungua kijijini hapo. Na. Daniel Manyanga Wananchi wa vijiji vya Mlimani na Zanzui vilivyopo wilayani Itilima mkoani Simiyu wakosa huduma ya maji safi…
7 March 2022, 7:38 pm
Maswa:Mauwasa kutumia milioni 500 kusambaza maji safi na salama mjini Maswa.
Na mwandishi,Daniel Manyanga,Simiyu Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa(Mauwasa) mkoani Simiyu imekusudia kutumia kiasi cha Sh 509,884,320 katika kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji mjini humo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mauwasa, Mhandisi Nandi Mathias mbele…
30 October 2021, 7:59 am
zaidi ya bilion 10.8 kutatua changamoto ya maji hasa vijijini mkoani simiyu
Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Zaidi ya bilioni 10.8 zilizotolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan zikiwemo zaidi ya bilioni 8 za bajeti ya kawaida na zaidi ya bilioni 2 ambazo ni fedha za uviko…
22 July 2021, 10:47 am
Maji ya Ziwa Victoria kuleta suruhisho la changamoto ya maji mji wa m…
Mkurugenzi Mtendaji wa mamlaka ya maji na Usafi wa mazingira Maswa- MAUWASA Mhandisi Nandi Mathias amesema kuwa kuanza kutekelezwa kwa mradi wa maji kutoka ziwa Victoria utaondoa changamoto ya Upatikanaji wa Maji katika katika Mji wa Malampaka uliopo wilayani Maswa …
23 June 2021, 10:15 am
Mradi wa Chujui la Maji Maswa wanufaisha wakazi zaidi ya Laki moja.
Zaidi ya wakazi Laki moja wa Mji wa Maswa na vijiji jirani wamenufaika na Mradi wa Mtambo wa kutibu na Kusafisha Maji. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Maswa-MAUWASA Mhandisi Nandi Mathias …
31 March 2021, 12:55 pm
Milioni 160 kununua Dira za maji Maswa
Zaidi ya shilingi Milioni 160 zimetolewa na serikali ya jamhuri ya muunga no wa tanzania kwa ajili ya ununuzi wa dira za maji ili kila mtu anayetumia alipe kwa kadri ya matumizi yake. Hayo yamesema na mkuu wa wilaya ya …