Ruangwa FM

Uncategorised

21 February 2023, 4:55 pm

Serikali itaendelea kushirikiana na wananchi – Mh. Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea  kuungana na wananchi katika kuimarisha miundomibu ya elimu ili kuhakikisha watoto Wakitanzania wanapata elimu bora na kutimiza ndoto zao. Waziri Mkuu…

21 November 2022, 3:35 pm

Mwanafunzi afariki kwa kuangukiwa na kabati Kilwa

Mwanafunzi wa Darasa la kwanza aliejulikana kwa jina la Adam Kaisi Jika (9) katika shule ya msingi Singino, wilayani kilwa mkoani Lindi, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na kabati la kuhifadhia vitabu na madaftari wakati akicheza na wenzake shuleni hapo.…

17 November 2022, 3:56 pm

DC Ruangwa atoa siku mbili wafugaji kuondoka maeneo yasiyo rasmi

Mkuu wa wilaya ya ruangwa Hassan Ngoma amewaasa madiwani kusaidiana katika operation inayoendelea ya kuwafukuza wafugaji wanaoshi katika maeneo ambayo siyo rasmi wilayani Ruangwa “Oparesheni inaendelea mfugaji ambae Hana baraka za kijiji au ODC anatakiwa kuondoka wilaya ina eneo moja…

17 November 2022, 3:52 pm

Watoto wafundishwe kilimo- Chikongwe

Mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya ya ruangwa Andrew Chikongwe amewashauri watendaji WA kata na vijiji pamoja na madiwani kuweka mipango ya wanafunzi kufundishwa kilimo ili kuwajengea watoto uwezo mzuri wa kujifunza Maisha ya kujitegemea wawapo mtaani. “Watendaji nendeni mashuleni watoto…

16 November 2020, 7:58 pm

Mkurugenzi ruangwa aagiza walimu kufundisha kwa bidii

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Ruangwa mkoani Lindi, FRANK FABIAN CHONYA, amewataka walimu kuendelea kufundisha kwa bidii na  kwa mujibu wa kalenda ya masomo inavyowataka, ili kutimiza malengo ya ufaulu waliojiwekea katika halmashauri hiyo. Chonya ameyasema hayo jumatatu 16/11/2020…

19 October 2020, 10:40 am

Dc. Ruangwa – Wakulima lindeni mazao yenu

Mkuu wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi MH. HASHIM MGANDILWA, amewataka wakulima kuwa na utaratibu wa kuzidikiza mazao yao ghala kuu yanapotoka katika vyama vya msingi ili kuepuka ubadhilifu unaofanywa na baadhi ya wasafirishaji wakishirikiana na viongozi wa vyama vya…