Radio Fadhila

politics

26 February 2021, 5:14 AM

BARAZA la Madiwani lapitisha Rasimu ya Bajeti 2021/2022

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara limepitisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2021/2022,Mpango huo umepitishwa katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika jana tarehe 24, Febuari katika ukumbi wa Halmashauri hiyo…

23 February 2021, 4:53 AM

Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu

Chama cha ACT WAZALENDO kimemteua Dorothy Semu ambae ni makamu mwenyekiti bara kuwa kaimu mwenyekiti wa chama hicho Taifa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Maalim Seif kufariki Dunia Februari 17 mwaka huu. Dorothy atakaimu nafasi hiyo mpaka mwenyekiti mpya…

17 February 2021, 10:51 AM

Rest In Peace- Maalim Seif Shariff Hamad.

Rais wa Zanzibar, Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar , aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi.Maalim Seif amekumbwa na umauti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Raisi…

12 January 2021, 3:18 AM

Rais Mwinyi Asamehe Wafungwa 49

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49) waliokuwa wakitumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na Pemba ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Sherehe za…