politics
25 November 2020, 9:40 AM
Uchaguzi Marekani 2020: Rais mteule asema taifa hilo limerejea wakati wa uzinduz…
Uchagizi wa Marekani 2020: ‘Marekani imerejea tena’, amesema Biden wakati anazindua timu yake Rais mteule Joe Biden ajaza nafasi sita muhimu akisubiri kuapishwa na kuchukua rasmi madaraka. Ikiwa watathibitishwa, Avril Haines atakuwa mkurugenzi wa kwanza mwanamke katika shirika la upelelezi…
11 November 2020, 11:59 AM
Makala Inayo Elezea Kitabu Cha rais Benjamini William Mkapa
sikiliza makala inayozungumzia kitabu cha rais wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa na badhi ya hotuba zake alizo wahi zungumza enzi za uhai wake. katika kipindi cha watu mashuhuri
2 November 2020, 4:12 AM
Sikiliza kipindi Cha Sheria -Radio Fadhila 95.0 Fm -Masasi
kipindi cha sheria utasikia mazungumzo na wanasheria wakizungumzia UMILIKI WA ARIDHI NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARIDHI host-MATHEW MAGASHA
2 November 2020, 3:16 AM
Sikiliza Kipindi cha Watu Mashuhuri Kutoka Radio Fadhila 95.0 Fm-Masasi
KIPINDI cha watu mashuri hii leo utasikiliza harakati za kudai uhuru kutoka kwa Patrice Lumumba-Congolese politician and independence leader ikiwemo barua aliyo iandika kwa mkewe akiwa gerezani. host- Edwin Mpokasye
28 October 2020, 3:23 PM
Wakazi wa Wilaya ya Masasi Wakishiriki katika zoezi la kupiga kura kuchagua rais…
hawa ni baadhi wa wananchi walioko katika wilaya ya masasi wakishiriki katika zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu 2020 kumchagua mbunge raisi na madiwani
28 October 2020, 3:14 PM
Mkuu wa wilaya masasi Mh Seleman mzee amejumuika na wakazi wa wilaya ya masasi k…
huyu ni mkuu wa wilaya ya masasi mh seleman mzee akipiga kura leoo hii kumchagua rais , mbunge na madiwani kati uchaguzi mkuu wa 2020
26 October 2020, 4:03 AM
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Masasi, Gimbana Ntavyo awataka wasimam…
MSIMAMIZI wa Uchaguzi jimbo la Masasi mjini, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Masasi, Gimbana Ntavyo( pichani katikati) amewataka Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa vituo vya kupigia kura jimbo hilo la Masasi mjini kwenda kufanya kazi zao…
19 October 2020, 10:53 AM
Prof Ibrahim Lipumba amefanya kampeni wilayani masasi
Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF prf Ibrahim lipumba amefanya mkutano wa kampeni wilayani masasi katika eneo la uwanja wa fisi na kuzungumza na wakazi wa masisi prf lipumba aliwaahidi wananchi wa wilaya ya masasi endapo tu…