Pangani FM

MAGUFULI

6 April 2021, 7:33 pm

Pumzika kwa amani JPM tunaonana baadaye.

Leo Aprili 6 ndio tamati ya siku 21 za maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli. sikiliza hapa chini ujumbe maalum wa Pangani FM katika kutamatisha maombolezo ya msiba…

6 April 2021, 6:51 pm

Kumuenzi Magufuli kwa kuandikisha Wanafunzi shule.

Wananchi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kumuenzi Hayati Dkt Magufuli kwa kuweka Malengo ya kuongeza idadi ya Uandikishaji wa wanafunzi na kuongeza ufaulu kutokana na Sera ya Elimu Bila Malipo iliyoachwa na muasisi huyo. Sikiliza hapa taarifa iliyoadaliwa na mwandishi…

19 March 2021, 10:52 am

Wasifu wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan

Mama Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27 mwaka 1960 huko visiwani Zanzibar. Alipata elimu ya msingi katika shule za msingi za Chawaka huko Unguja, Ziwani huko Pemba na Mahonda iliyopo Unguja  kati ya mwaka  1966 na 1972. Alisoma katika shule ya Sekondari  Ngambo iliyopo Unguja…