Pangani FM

HABARI ZA TANGA

17 March 2021, 10:11 am

Kukatika Umeme sasa basi.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa, tatizo la kukatika umeme mara kwa mara ambalo lilijitokeza katika maeneo mbalimbali nchini siku za hivi karibuni limemalizika. Akizungumza na wakazi wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga ikiwa ni sehemu ya ziara…

4 February 2021, 7:55 pm

Baraza la Wazee Tanga rasmi, Pangani ina wazee wachache zaidi.

WATUMISHI wa ngazi zote mkoani Tanga wameaswa kuacha kudharau na kuwanyanyapaa wazee pindi wanapofuata huduma kwenye ofisi zao badala yake kuwanyenyekea na kuwapa kipaumbele ili kupata Baraka. Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Martin Shigela wakati akizindua…