Uchumi
8 May 2024, 3:10 pm
Kuna nafasi sawa ya kijinsia katika kumiliki ardhi?
Na Joyce Elius. Baadhi ya maeneo na jamii zimekua haziamini mwanamke katika kumilikisha ardhi na hii inatokana na mila na desturi za jamii husika. Sera ya taifa ya ardhi ya mwaka 1995 inatambua kuwa wanawake na wanaume wana haki sawa…
7 March 2024, 4:54 pm
Ufunguzi wa soko la Alamayana kijiji cha Loswaki kata ya Terrat
Wananchi wa kijiji cha Loswaki kilichopo kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro wameungana pamoja na wananchi wa vijiji vya jirani, wafanyabiashara, viongozi mbalimbali wa mila, chama na serikali katika ufunguzi wa soko la Alamayana katika kijiji cha Loswaki. Na Baraka…
20 February 2024, 3:28 pm
Uzinduzi soko la kijiji cha Engonongoi wilaya ya Simanjiro
Wakaazi wa kijiji cha Engonongoi iliyopo kata ya Terrat wilaya ya Simanjiro wameungana na wananchi wenzao na wafanyabiashara kutoka vijiji vya wilaya ya Simanjiro na wilaya za jirani katika ufunguzi wa soko katika kijiji cha Engonongoi. Na Baraka David Ole…