Nuru FM

Siasa

18 April 2024, 11:32 am

Msigwa achukuliwa fomu kugombea kanda ya Nyasa

Wanawake wa Chadema Mkoa wa Iringa waliamua kwenda Jijini Mbeya kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa wakitaka agombee uenyekiti Kanda ya Nyasa. Na Mwandishi wetu. Mgombea wa nafasi ya uenyekiti Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekabidhiwa fomu ya kuwania nafasi hiyo…

8 April 2024, 9:04 am

Vijana Iringa waaswa kugombea nafasi za uongozi

Kutojiamini, kukosa elimu ya uongozi, kukosa uzoefu, kutoaminika, kudharaulika ni miongoni mwa sababu zinazopelekea Vijana wengi washindwe kujitokeza kugombea nafasi za uongozi hapa nchini. Na Adelphina Kutika VIJANA Katika Halmashauri ya Wilaya Ya Iringa wametakiwa kujitokeza na kugombea katika uchaguzi…

3 April 2024, 9:23 am

Wagombea Chadema Iringa warudisha fomu

Uchaguzi wa Chadema una lenga kupata Viongozi wapya watakaokiongoza Chama hicho baada ya walioko madarakani kumaliza muda wake kwa mujibu wa katiba Yao. Na Godfrey Mengele Viongozi wanaogombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani wa…

26 March 2024, 10:02 am

CCM Iringa: Rais Samia ametoa uhuru wa kidemokrasia

Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeimarisha demokrasia kwa vyama vya siasa. Na mwandishi wetu Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa kimesema Rais Dr Samia suluhu Hassan ametoa uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote. Akizungumza…