Mazingira FM

utunzaji mazingira

13 March 2024, 5:48 pm

Wananchi watakiwa kupunguza mifugo kulinda mazingira

Mhadhiri wa Chuo cha Kilimo Sokoine SUA Dkt. Lalika amesema kuwa kutokana na uwepo wa mifugo mingi hususani katika eneo la Wegelo unaleta madhara katika bonde la mto Mara hasa uharibifu wa Mazingira. Na Catherine Msafiri Katika kutathimini mradi wa…

12 March 2024, 12:48 pm

WWF yabaini vyanzo 578 vya maji Mara

Shirika la WWF katika kutekeleza mpango kazi walioandaa kwa mwaka wa fedha 2024 kwa kuziunga mkono jumuiya za watumia maji mkoa wa Mara, wamebaini vyanzo vya maji zaidi ya 578 ambapo lengo la mradi ni kufikia watu 20,000. Na catherine…