Karagwe FM

#wizara ya kilimo

10 May 2024, 8:08 pm

Magendo yatishia ukosefu wa kahawa Missenyi

Suala la magendo ya kahawa mkoani Kagera limekuwa suala mtambuka kila inapofika nyakati za uvunaji wa zao hilo ambapo wakulima wengi wanadaiwa kuuza maua au kuvuna kahawa mbichi na kuuza kwa njia ya magendo hasa wakulima wanaopakana na nchi ya…

8 May 2024, 12:29 pm

DC Karagwe aagiza kutaifisha kahawa badala ya faini

Kumekuwa na tatizo la kuvuna na kuuza kahawa mbichi maarufu kama “Obutura “katika wilaya zinazolima zao hilo mkoani Kagera ikiwemo Karagwe. Hali hii inadaiwa kuwapunja wakulima kwani wanajikuta wakipata hasara kutokana na mauzo ya zao hilo kabla ya wakati wake.…

25 April 2024, 12:58 pm

SAWAKA, HelpAge Ujerumani  kuboresha lishe Karagwe

Kundi la wazee ni miongoni mwa makundi yaliyopo katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa kutokana na kiwango cha kinga yao ya mwili kuwa chini. Shirika la Saidia Wazee Kagera (SAWAKA) kwa kushirikiana na HelpAge Ujerumani wameamua kuja na mpango wa…