Kahama FM

HABARI KITAIFA

April 2, 2021, 7:59 am

Akamatwa akisafirisha Kobe 438

JESHI la Polisi mkoani Simiyu limemkamata mtu mmoja (jina lake limehifadhiwa) mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara akiwa na mabegi matatu yaliyokuwa yamebeba kobe hai wapatao 438 wenye thamani ya shilingi milioni 71.1. Mtuhumiwa…

April 2, 2021, 7:36 am

Wachenjuaji wa dhahabu wajenga kituo cha Polisi

MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo kwenye machimbo ya Dhahabu Mwakitolyo wilayani Shinyanga, ambacho kitasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo hilo. Mboneko amebainisha hayo leo alipofanya ziara…

March 31, 2021, 8:25 am

Mbaroni kwa kumpa Mimba bintiwa Darasa la nne.

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Kusekwa Madaha (27) mkazi wa kijiji cha Murongo wilayani Kyerwa kwa tuhuma ya kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la nne ambaye jina lake na la shule, vimehifadhiwa. Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi…

March 30, 2021, 11:50 am

Philip Mpango apendekezwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amempendekeza Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kinachofuata sasa ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuthibitisha jina lake…

March 28, 2021, 1:54 pm

Wananchi Manispaa ya Kahama Wamlilia JPM,

Wakazi wa manispaa ya KAHAMA mkoani SHINYANGA wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa raisi wa TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI Wakizungumza na KAHAMA FM baadhi ya wakazi hao,FANUEL NZAGAMBA na SAMWELI MATIKO wamesema hayati MAGUFULI alikuwa na maono yenye matokeo chanya…