Kahama FM

HABARI KITAIFA

April 29, 2021, 10:08 am

Kikosi cha 23 KJ Kimehitimisha mafunzo rasmi ya Sambalatisha Adui.

Jeshi la wananchi wa Tanzania  kikosi cha 23 KJ  limehitimisha mafunzo rasmi ya sambalatisha adui  yaliyolenga kujikumbusha mbinu mbalimbali za kivita  ikiwa ni pamoja na kujiweka timamu kila wakati  ili kuendelea kulinda mipaka ya nchi . Mkuu wa shule ya ifantiria Brigedia Jenerali  Selemani Gwaya ambaye…

April 23, 2021, 7:54 am

Madiwani Kishapu waazimia kumsimamisha kazi mweka hazina.

WIKI Kadhaa baada ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuipa hati ya mashaka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Madiwani wa halmashauri hiyo kwa kauli moja wameazimia kumsimamisha kazi Mweka hazina wa halmashauri hiyo, Deus…

April 6, 2021, 7:49 am

Mwanafunzi wa darasa la kwanza aliwa na mamba Ziwa Victoria.

Janeti Mganga (8) aliyekuwa anasoma darasa la kwanza shule ya msingi Busikimbili iliyoko kata ya Maisome, Halmashauri ya Buchosa, wilayani Sengerema mkoani Mwanza  ameuawa na mamba wakati akioga kwenye Ziwa Victoria huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimenyofolewa…