Joy FM

sekta ya elimu

17 May 2024, 14:41

Serikali yagawa vifaa kwa shule zenye wanafunzi wa MEMKWA

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhakikisha inaboresha elimu nchini kwa wanafunzi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma Mwl. Vumilia Simbeye amekabidhi vifaa vya shule kwa wakuu wa shule 16…

9 May 2024, 12:58

Udumavu pasua kichwa kigoma, mafisa lishe kikaangoni

Licha ya mkoa wa kigoma na wilaya zake kuzalisha aina mbalimbali za vyakula vya kutosha bado suala la lishe limekuwa gumu kwani bado watoto wanasumbuliwa na udumavu hali inayochangia hata watoto kushindwa kumudu masomo vizuri shuleni. Na, Josephine Kiravu -Kigoma…

2 May 2024, 17:02

Wananchi wajenga shule kunusuru watoto wao na mimba

Serikali imesema itaendelea kusaidiana na wananchi katika kuhakikisha wanafanikisha utoaji wa huduma muhumu ikiwemo kujenga shule ili kutatua changamoto za wanafunzi kutembea umbali mrefu kutafuta elimu katika kijiji kingine. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wa kijiji cha Nyankoronko kata…

15 April 2024, 12:33

Wanafunzi wafundwa kilimo cha kahawa kibondo

Katika kukabiliana na changamoto za utegemezi kwa wanafunzi baada ya kuhitimu ngazi mbalimbali za elimu nchini kituo kidogo cha utafiti wa kahawa Tanzania TACRI ofisi za kigoma kimeanza kutoa elimu ya kilimo cha kahawa kwa wanafunzi wa sekondari Wilayani Kibondo…

21 February 2024, 13:07

Profesa Ndalichako kuifanya sekta ya elimu kuwa kipaumbele Kasulu

Waziri ofisi ya Waziri Mkuu, ajira, vijana  na wenye ulemavu Pro. Joyce Ndalichako amesema ataendelea kuhakikisha sekta ya elimu katika jimbo la kasulu mjini inapewa kipaumbele. Profesa Ndalichko amesema hayo wakati akigawa viti  mwendo na fimbo Kwa walemavu, pamoja na magari…