Joy FM

maendeleo

18 August 2025, 14:46

Wanawake washauriwa kushiriki kwenye ngazi za maamuzi

Wanawake wameshauriwa kushiriki katika katika shughuli mbalimbali ikiwemo uongozi Na Hagai Ruyagila Wanawake wa kata ya Muzye Halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na msimamo thabiti na kujitokeza kwa wingi kushiriki shughuli za maendeleo pamoja na kuchangamkia…

13 August 2025, 7:20 pm

Mwenge wa uhuru kukimbizwa KM 152 Musoma

Kwa wilaya ya Musoma mapokezi ni tarehe 16 katika kijiji cha Kabulabula halmashauri ya wilaya ya Musoma. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe Juma Chikoka ameomba wakazi wote wa wilaya ya Musoma kujitokeza kwa wingi katika mapokezi…

13 August 2025, 7:12 pm

Mradi wa TACTIC Musoma kugharimu 19.97 bilion

Miradi itakayotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa barabara za Mkendo, Shaabani na Musoma–Saanane, Ujenzi wa Soko Kuu la Nyasho na Kituo cha Mabasi cha Bweri. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Musoma Mhe Juma Chikoka amemshukuru Rais wa Jamhuri…

10 August 2025, 3:20 pm

Wadau wa maendeleo watakiwa kuigusa jamii

“Ukiwa mdau wa maendeleo na ukatoa mchango unaoigusa jamii moja kwa moja basi na wewe mungu anazidi kukubariki” Na Taro Michael Mujora Wadau mbalimbali wametakiwa kushirikiana kwa karibu na jamii katika kugusa mahitaji ya watu wenye uhitaji, hususan kupitia taasisi…

7 August 2025, 11:57 am

Getere aongoza Bunda, Kangi apeta Mwibara

Kangi Lugola ampiku Kajege kura za maoni Mwibara huku Boni Getere aking’ara jimbo la Bunda Na Adelinus Banenwa Ni waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa zamani Kangi Lugola ameongoza kura za maoni za chama cha mapinduzi kwa jimbo…

7 August 2025, 11:26

Kirumbe Ng’enda alivyokonga nyoyo za wajumbe Kigoma

Siku chache baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kwanza katika uchaguzi wa kura za maoni, Mgombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjiji Kirumbe Ng’enda ametoka hadharani na kuwashukuru wajumbe na kuweka wazi kilichompa ushindi huo Na Tryphone Odace Mgombe ubunge…

5 August 2025, 17:17

Waziri wa zamani wa fedha ateuliwa kuwa Waziri Mkuu Burundi

Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye amemteua Nestor Ntahontuye kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Na Bukuru Elias Daniel Waziri wa zamani wa fedha na hazina wa Burundi Nestor Ntahontuye ameteuliwa kuwa waziri mkuu wa Burundi katika mabadiliko mapya…