Joy FM

maendeleo

17 September 2025, 09:57

Mwenge wa uhuru wawasili Kasulu, kukagua miradi 14 ya maendeleo

Mwenge wa uhuru umewasili Wilayani Kasulu na unatarajia kupitia na kukagua miradi 14 ya maendeleo Na Hagai Ruyagila Jumla ya miradi 14 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.7 inatarajiwa kukaguliwa, kutembelewa na mingine kuwekewa jiwe la msingi wakati…

17 September 2025, 09:11

Miradi ya maendeleo kupitiwa na mwenge wa uhuru Kasulu Mji

Mwenge wa uhuru umeendelea kukimbizwa katika Halmashauri za Mkoa wa Kigoma kwa kutembelea na kuweka mawe ya msingi Na Hagai Ruyagila Miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya shule afya na miradi ya vikundi vya vijana na wanawake katika Halmashauri…

16 September 2025, 09:56

Miradi 56 ya shilingi 64.7b kupitiwa na mwenge Kigoma

Mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2025 zimeanza rasmi mkoani Kigoma ambapo miradi 16 ikitarajiwa kuwekewa mawe ya Msingi, mmoja kufunguliwa, 27 kuzinduliwa huku mingine 12 ikitembelewa na kukaguliwa. Na Tryphone Odace Mwenge wa uhuru umeanza mbio zake Mkoani…

15 September 2025, 10:53 pm

Miti 8000 yapandwa kilele maadhimisho Mara day

Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Mtambi amesisitiza umuhimu wa kuimarisha juhudi za pamoja za uhifadhi, pamoja na kuendeleza mshikamano baina ya jamii zinazozunguka bonde hilo. Na Catherine Msafiri, Maadhimisho ya Mara Day yamehitimishwa leo 15 septemba 2025 katika viwanja…

14 September 2025, 10:33 am

Uhamiaji Bunda yakaribisha wananchi kupata elimu

Mhomboje amesisitiza kuwa zoezi la uchaguzi linawahusu Watanzania pekee, na kwamba raia wa kigeni hawaruhusiwi kushiriki kwa namna yoyote ile. Na Edward Lucas Wananchi wametakiwa kutokuwa na hofu kutembelea ofisi za Uhamiaji kwa ajili ya kuuliza na kupata taarifa mbalimbali…

11 September 2025, 9:04 pm

Mwingine ajinyonga Bunda kisa msongo wa mawazo

“Inaonesha mzee huyo amejinyonga kutokana na msongo wa mawazo kwa kuwa ni kama familia yake ilikuwa haimjali” Na Adelinus Banenwa Mzee mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Odondo mwenye umri wa miaka 93 mkazi wa kijiji cha Nyaburundu kata ya…

11 September 2025, 8:36 pm

Wananchi wakaribishwa ‘Mara day’

Maadhimisho hayo ya 14 yanatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 12 hadi Septemba 15, 2025, katika Viwanja vya Mwenge, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Na Thomas Masalu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mara na…