Joy FM

maendeleo

17 February 2025, 13:45

TRA Kigoma yajipanga kuzuia uingizwaji bidhaa za magendo

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapatao Tanzania TRA imesema itaendelea kushirikiana na wanfanyabiashara kukabiliana na wanaoingiza bidhaa kwa njia za magendo Na Timotheo Leonard Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amekemea…

14 February 2025, 12:46 pm

Radio Mazingira FM yapongezwa kwa utendaji kazi mzuri

Mkuu huyo wa wilaya ya Musoma amekipongeza kituo cha redio cha Mazingira Fm cha mjini Bunda kwa kazi nzuri za kuendelea kuwafikishia wananchi taarifa mbalimbali. Na.Shomari Binda Katika kuadhimisha siku ya radio duniani jamii imetakiwa kufatilia matangazo yake ili kuweza…

12 February 2025, 09:17

Mkataba ujenzi visima sita vya umwagiliaji wasainiwa Kigoma

Serikali imesema itaendelea kuhakikisha inaimarisha sekta ya kilimo kwa kuweka miundombinu rafiki kwa wakulima ili kuhakikisha wanalima kilimo chenye tija. Na James Jovin Wakazi mkoani Kigoma wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya ujenzi wa miundombinu wezeshi kwa ajili…

11 February 2025, 10:38

NGOs zatakiwa kuhudumia wananchi vijijini

Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye ameyataka mashirika yasiyo ya Serikali kufanya kai kwa kuzingatia sera na miongozo ya katiba ya nchi katika kuwahudumia ikiwa ni pamoja na kuweka wazi shughuli wanazozifanya. Na Josephine Kiravu Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotekeleza…

11 February 2025, 10:22

Wanasiasa waonywa kutotumia siasa kuvunja mikataba ya miradi

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imewataka wanasiasa kutokuwa chanzo cha mikataba ya maendeleo kuvunjwa bila kufuata utaratibu wa kisheria. Na Lucas Hoha Mkuu wa Mkoa wa Kigom Kamishina Jenerali Mstaafu wa jeshi la zimamoto na ukoaji Thobias Andengenye amewataka wanasiasa…

10 February 2025, 11:45

M-mama yaja na suluhisho la vifo vya wajawazito, watoto

Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya wameendelea kuweka mikakati ya kupata suluhisho la tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wachanga kwa kuhakikisha huduma za dharula zinapatikana kwenye jamii. Na Emmanuel Kamangu Katika kukabiliana na vifo vya mama…

7 February 2025, 16:13

Mkandarasi atimuliwa kwa kuchelewesha mradi Kigoma

Wananchi na Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Kgoma Ujiji Mkoani Kigoma, wamemkataa mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwaro wa Katonga, Kwa Madai ya kushidwa kutekeleza mradi kwa wakati, Na kusababisha hasala kwa wafanyabiashara…