Joy FM
Joy FM
26 February 2025, 16:33
Ili kukabiliana na uharibifu wa misitu na wanyama pori kutoweka serikali imeanza kuwalipa fadia wananchi ili waondoke katika vijiji vilivyopo karibu na milima ya hifahdi ya mahale. Na James Jovin Serikali imeanza kulipa fidia na kuhamisha kaya zaidi ya 300…
26 February 2025, 14:38
Serikali imeendelea kuboresha elimu nchini kwa kujenga vyumba vya madarasa ili wananfunzi waweze kupata elimu bora. Na Hagai Ruyagila Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA imekabidhi mradi wa nyumba nne kwa shule ya sekondari Nyumbigwa na madarasa matatu katika shule ya…
24 February 2025, 5:39 pm
Picha ya soko la Machinjioni. Picha na Edda Enock “Tunashindwa wapi pa kupeleka haja zetu soko halina choo” Na Edda Enock Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la machinjioni manispaa ya Mpanda mkoani katavi wametoa malalamiko yao kwa serikali kuhusu hali…
22 February 2025, 5:23 pm
Imeelezwa kuwa Serikali kupitia bodi ya pamba Tanzania imedhamilia wakulima wa zao hilo kulima kwa tija badala ya kulima mashamba makubwa lakini mavuno kidogo. Hayo yamesemwa na mkaguzi wa zao la pamba wilayani Bunda Ndugu Hemedi Kabea mbele ya katibu…
20 February 2025, 4:58 pm
Picha ya mwenyekiti wa shirikisho la umoja wa machinga, Haji Mponda. Picha na Samwel Mbugi. “Jisajilini ili mkizi vigezo muweze kupata mkopo” Na Samwel Mbugi Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi kuomba mikopo inayotolewa na serikali…
20 February 2025, 12:20 pm
Jamii yatakiwa kuwa na utamaduni wa kukata bima ya afya kabla ya kuugua ili kuepuka changamoto mbalimbali za kupata huduma By Edward Lucas, NHIF yaja na kifurushi cha NGORONGORO AFYA na SERENGETI AFYA ili kuongeza wigo wa matibabu kwa wateja…
19 February 2025, 13:08
Madiwani kama wawakilihi wa wananchi katika usimamizi wa miradi ya maendeleo wawashirikishe wananchi kufahamu maendeleo ya miradi hiyo Na Orida Sayon Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru Mkoa wa Kigoma imewataka madiwani katika halmashauri ya wilaya Kigoma Mkoani…
19 February 2025, 10:45
Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Kanali Michael Ngayalina ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe amesema bajeti iliyopishwa ikawe chachu ya kuchochea maendeleo kupitia miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu…
19 February 2025, 09:51
Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina amesema watumishi wa umma hawana budi kuzingatia weledi na taaluma yao katika kuwatumikia wananchi. Na Hagai Ruyagila Watumishi wa Umma katika halmashauri ya Mji Kasulu…
18 February 2025, 17:24
Mawadiwani katika halmashauri ya wilaya Kigoma wametakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Tryphone Odace Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kigoma limepitisha rasimu ya bajeti ya zaidi ya shilingi bilioni 36 ambayo…