Joy FM

maendeleo

7 November 2025, 08:51

Serikali kujenga masoko madogo ya wachuuzi Kigoma

Baadhi ya vijiji yatakapojengwa masoko hayo ni Simbo wilayani Kigoma, Kazuramimba na Nguruka wilayani Uvinza na Rusesa, Kasangezi na Bugaga wilayani Kasulu. Na Emmanuel Matinde Serikali Mkoani Kigoma imeanza mpango wa ujenzi wa masoko madogo ya wachuuzi kwenye vituo vidogo…

5 November 2025, 15:55

DC Kasulu ataka wananchi kuendelea na shughuli zao

Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao kwa amani na utulivu Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea na shughuli za uzalishaji kwa uhuru na Amani Kutokana na kuimarishwa kwa Hali…

27 October 2025, 14:36

RC Sirro atembelea wakazi waliopisha hifadhi Kasulu

Serikali imesema itahakikisha inapeleka huduma zote muhimu kwa wananchi waliohama kupisha hifadhi ya kitalu cha uwindaji Makere – Uvinza na kuanza makazi mapya katika kitongoji cha Katoto Wilayani Kasulu Na Mwandishi wetu Zaidi ya wakazi 800 wamehamisha makazi yao kutoka…

25 October 2025, 8:53 pm

Wakazi 143,315 kupiga kura majimbo ya Mwibara na Bunda

Waliopoteza vitambulisho vyao vya kupigia kura na majina yao yapo kwenye daftari la kudumu la mpiga kura wanayo nafasi ya kupiga kura kwa kutumia vitambulisho vyenye majina yao kama vile leseni ya udereva pass ya kusafiria au kitambulisho cha taifa…

25 October 2025, 8:40 pm

Bulaya atamatisha kampeni 2025 Bunda

Asema endapo atachaguliwa, kipaumbele chake kitakuwa ni kuinua maendeleo ya wananchi wa Bunda Mjini Na Thomas Masalu Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Bunda Mjini, Estar Bulaya, amehitimisha kampeni zake leo katika viwanja vya Stendi ya…

24 October 2025, 1:38 pm

Kapigeni kura hakuna tishio la usalama; DC Aswege

Jumla ya wapigakura wenye sifa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni takribani watu 253.891 Na Adelinu Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswenge Enock Kaminyoge amewahakikishia wananchi wilayani Bunda ambao wanasifa za kupiga kura tarehe…

21 October 2025, 1:55 pm

Amani chanzo cha umoja na mshikamano wa kitaifa

Uwepo wa amani nchini Tanzania imekua chanzo cha kutokuwepo kwa matabaka ya udini, Ukabila walionacho na wasionacho, badala yake waTanzania wote wamekua na maisha ya kuchangamana bila kubaguana kwa hali yoyote. Karibu kusikiliza mahojiano ya moja kwa moja

18 October 2025, 8:23 pm

TAKUKURU: Kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi ni rushwa

“TAKUKURU hatutasita kuchukua hatua kwa yeyote atakayekiuka agizo hilo la kisheria“ Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi na kualika watu unaodhani wamekupigia kura ili ushinde ni rushwa. Hayo yamesema na William Eliyau Afisa uchunguzi kutoka…

16 October 2025, 4:03 pm

Upungufu wa ng’ombe wapaisha bei ya nyama Bunda

Wateja waombwa kuwa wavumilivu na kuelewa mazingira ya biashara ya nyama kwa sasa, huku akiahidi kuwa chama chao kitaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutafuta njia ya kudhibiti mfumuko wa bei. Na Catherine Msafiri na Teddy Thomas Baadhi ya wafanyabiashara wa…

11 October 2025, 6:19 pm

Aliyekuwa diwani Nyatwali atoa ujumbe mzito kwa serikali

Miongoni mwa mazao yanayoweza kulimwa kuwa ni pamoja na mahindi, mpunga, alizeti mbogamboga ambapo viwanda vya kuchakata mazao hayo vitapatikana hapo pia. Na Adelinus Banenwa Malongo Mashimo aliyekuwa diwani kata ya Nyatwali 2020  na 2025 ameishauri serikali kulifanya eneo la…