Joy FM
Joy FM
5 April 2025, 12:08 am
Watuhumiwa hao wanatajwa kutenda makosa ya Matumizi mabaya ya Madaraka, kughushi nyaraka kwa lengo la kumdanganya muajiri, kuunda vikundi hewa na kufanya ubadhirifu wa shilingi milioni 3. Na Adelinus Banenwa Watu wanne akiwemo diwani wilayani Bunda wamefikishwa mahakani kwa tuhuma…
4 April 2025, 5:09 pm
Katika wiki ya wazazi jumuiya hiyo imefanya kazi mbalimbali kwenye jamii ikiwemo ufanyaji wa usafi katika maeneo mbalimbali, upandaji miti, kutembelea vituo vya afya. Na Adelinus Banenwa Jumuiya ya wazazi chama cha mapunduzi CCM wilaya ya Bunda kimepongeza kituo cha…
3 April 2025, 16:50
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuhakikisha inakamilisha miradi yote ya maendeleo ili kufikisha huduma karibu na wananchi na kuchochea uchumi wa Taifa. Na Tryphone Odace Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu-Kazi Maalum, George Mkuchika amesema kuwa serikali imedhamiria kutekeleza…
1 April 2025, 15:16
Baada ya Serikali kuanza ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Tabora – Kigoma wananchi wameanza kunufaika na ujenzi kupitia miradi mbalimbali inayojengwa karibu na vijiji reli hiyo inapopita. Na Tryphone Odace – Buhigwe Wananchi wa jimbo la Buhigwe wilaya…
30 March 2025, 12:58 pm
Kwa mujibu wa kifungu cha 51 na 52 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa sura ya 329 kinaeleza vizuri kwa namnagani taarifa zinazotolewa zinakuwa za siri na maafisa wa takukuru wanazilinda na kumlinda mtoa taarifa. Na Adelinu Banenwa…
28 March 2025, 16:38
Serikali itaendelea kushirikiana na wafanyabiashara pamoja na mashirika mbalimbali kwa kutoa ujuzi wa namna bora ya kukuza biashara zao. Na Michael Mpunije Wajasiriamali na wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kuwa wabunifu ili kuingia katika soko la biashara lenye kuleta tija na…
25 March 2025, 14:32
Serikali kupitia TARURA imeendelea kuboresha miundombinu ya barabara ili kurahisisha usafirishaji baada ya kupokea fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Zaidi ya shilingi bilioni 19 zimetolewa na serikali kupitia kwa Wakala wa barabara za mijini na…
25 March 2025, 13:01
November 24 mwaka 2021 aliyekuwa waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako alitangaza kuruhusiwa kurejea shuleni kwa wanafunzi waliokatisha masomo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito kurejea shuleni kwa mfumo rasmi baada ya kujifungua. Na Josephine Kiravu Wanafunzi…
19 March 2025, 12:24 pm
Kazi kubwa ya wataalamu ni kutoa elimu kwa jamii ili kudhibiti magonjwa ya milipuko kama vile kipindupindu, kichocho, miongoni mwa magonjwa mengine. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia usafi wa mazingira na vyakula ili kuepukana na magonjwa ya…
18 March 2025, 15:56
Kamati ya ushauri ya Mkoa wa Kigoma imepitia na kuridhia kupeleka mapendekezo ya vikao vya DCC kuhusu ugawaji wa majimbo pamoja na kubadili majina ya baadhi ya majimbo kwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi kulingana na muongozo waliotoa hivi…