Joy FM

maendeleo

16 April 2025, 5:10 pm

Nyamo-hanga azikwa leo kwao Bunda

Ni aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa TANESCO aliyefariki kwa ajali ya gari eneo la nyatwali Bunda Na Adelinus Banenwa Shughuli ya mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Boniface Gissima Nyamo-hanga inaendelea nyumbani kwake Mtaa wa Migungani kata ya Bunda stoo Bunda…

15 April 2025, 13:36

Polisi kata shirikianeni na wananchi kubaini wahalifu Kasulu

Vitendo vya uhalifu vinaweza kudhibitiwa iwapo tu wananchi watashirikiana na Polisi kata kukabiliana na vitendo vya uhalifu kwenye jamii Na Emmanuel Kamangu Polisi kata wilayani kasulu wametakiwa kushirikiana kikamilifu na wananchi katika kata wanazoziongoza ili kuwa rahisi kubaini wahalifu. Amebainisha…

15 April 2025, 11:25

Serikali kuendelea kudhibiti uhalifu wa kifedha

Serikali kuendelea kusimamia na kudhibiti uhalifu wa kifedha Na Glory Enock Paschal Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha. Amesema kuwa Tanzania inatambua changamato za uhalifu…

14 April 2025, 13:49

UNIDO yahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhamasisha jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Na Josephine Kiravu Wadau mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya…

14 April 2025, 08:35

Madereva bodaboda dhibitini matukio ya ubakaji na ulawiti

Maafisa usafirishaji maarufu Madereva bodaboda wilayani Kigoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na vitendo vya ukatili. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashidi Chuachua amewataka madereva bodaboda kusaidia kudhibiti matukio ya ubakaji na ulawiti kwa…

11 April 2025, 17:28

Taasisi za fedha zatakiwa kutoa ushirikiano kwa wajasiriamali

Wasariamali na wafanyabiashara wadogo wamepewa mafunzo yanayolenga kuwainua kiuchumi Na Michael Mpunije Wasimamizi wa taasisi za kifedha wametakiwa kushirikiana na wajasiriamali pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati katika kuandaa mpango wa Biashara ili kuhakikisha wanajikwamua kiuchumi. Hayo yamejiri…

11 April 2025, 2:26 PM

DC Masasi ahimiza jitihada zaidi kuinua kiwango cha elimu

Mkuu wa wilaya ya Masasi Bi. Rachel Kassanda akifuatilia baadhi ya matukio yaliyokuwa yanaendelea wakati wa mkutano wa hadhara. Picha na Godbless Lucius Wanafunzi waliotakiwa  kujiunga  na  kidato cha kwanza mwaka 2025, asilimia 98 wamesharipoti shuleni na kuanza masomo. Na…

9 April 2025, 13:20

Serikali kumaliza mgogoro wa ardhi Kasulu

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amewaomba wananchi kutozuia ujenzi wa mradi kwani serikali itahakikisha wanalipwa fidia zao Na Hagai Ruyagila Serikali katika halmashauri ya mji Kasulu Mkoani Kigoma imejipanga kumaliza mgogoro wa Ardhi katika kata ya Nyumbigwa…

7 April 2025, 8:50 pm

TAKUKURU: Wananchi msishawishi watia nia kutoa rushwa

Mwananchi kushawishi mgombea au mtia nia kumpatia chochote ni kinyume na sheria ya takukuru sura ya 329 kifungu cha 15 (8) Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kutojihusisha na vitendo vya rushwa hasa kwa kuwashawishi viongozi na watia nia…

7 April 2025, 17:01

Bilioni 2 zatumika ujenzi kituo cha afya Makere Kasulu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwa katika ujenzi wa mradi wa kituo cha afya Makere ameeleza kuwa dhima ya serikali ni kuhakikisha wanaimarisha huduma za afya. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa…