Joy FM

maendeleo

15 May 2024, 12:30

Viongozi watakiwa kutoa taarifa za miradi kwa wanahabari

Viongozi wa ngazi mbalimbali mkoani kigoma wametakiwa kuwa karibu na wanahabari ili kufahamu miradi mbalimbali inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Na Lucas Hoha – Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye…

10 May 2024, 14:38

Madiwani watakiwa kusimamia miradi ya maendeleo

Miradi inakuwa kwenye maeneo yenu laikini hakuna hata anayejishughulisha kufuatilia kinachofanyika kwenye utekelezaji wa miradi na ndio maana tunakuwa miradi mingi ambayo haikidhi viwango. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu amewaagiza madiwani wa…

10 May 2024, 12:38

Ziwa Tanganyika kufungwa kwa miezi mitatu

Waziri wa mifugo na uvuvi Mh. Abdallah Ulega amesema shughuli za uvivi zitafungwa rasmi kuanzia may 15 hadi mwezi augost lengo ikiwa ni kulinda rasmali za ziwa tanganyika kuongeza. Na Orida Sayon – Kigoma Katika kutekeleza dhamira ya  kulinda  rasilimali…

9 May 2024, 13:16

Wezi wa dawa vituo vya afya watinga kwenye baraza a madiwani

Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wizi wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za afya jambo ambalo linakwamisha upatikanaji wa dawa kwa wagonjwa wanapohitaji kutibiwa. Na James Jovin – Kibondo Idara ya afya katika halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani…

8 May 2024, 13:13

Wajasiriamali tumieni vitambulisho kupata mikopo

Serikali imewataka wajariamali kutumia vitambulisho vya ujasiriamali kama sehemu ya kuwawezesha kupata mikopo itakayowasaidia kujiendeleza kibiashara. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wajasiriamali wadogo wadogo wa halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali ambacho kitamsaidia kupata…

7 May 2024, 17:00

Meja Kodi: Lazima tulinde mipaka yetu iwe salama

“Mkoa wa Kigoma una wageni wengi wanaoingia nchini hivyo hatuna budi kuwa makini na kuhakikisha ulinzi unaimarika katika mipaka ya nchi yetu ili kuhakikisha hakuna tatizo linaokea”. Na, Tryphone Odace – Kigoma Mkuu wa Tawi la Lojistiki na Uhandisi Jeshini, …

2 May 2024, 12:25

Wananchi kufikishwa mahakamani waliohujumu eneo la uwekezaji

Serikali wilayani kibondo imesema itaendelea kuwachukulia hatua wanaokiuka taratibu za uwekezaji kwa kuvamia maeneo yanayokuwa yamepangwa kwa ajili ya uwekezaji. Na James Jovin – Kibondo Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma inapanga kuwaburuza mahakamani baadhi ya wananchi wa vijiji…

1 May 2024, 15:13

Acheni kunyanyasa wafanyakazi katika maeneo ya kazi

Wafanyakazi wa sekta mbalimbali leo wameadhimisha siku ya wafanyakazi huku wakiomba serikali kupitia vyama vya wafanyakazi kuangalia namna ya kutatua changamoto zinazowakabili wafanyakazi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamto…