Joy FM

elimu

9 December 2024, 11:02 am

Magari 45 yakutwa na makosa mbalimbali Iringa

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na timu maalum kutoka Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu limefanya ukaguzi wa vyombo vya moto ambapo jumla ya magari 45 yamekutwa na makosa mbalimbali. Akizungumza kwenye operesheni hiyo…

6 December 2024, 12:18

Serikali kuongeza uwekezaji katika sekta ya elimu

Pichani ni waziri mkuu wa Tanzania Kassimu Majaliwa akiwa kwenye mahafali ya 43 ya chuo kikuu Huria  cha Tanzania ambayo yamefanyika Mkoani Kigoma Waziri  Mkuu wa Tanzania Mh. Kasimu  Majaliwa amesema serikali itaendelea kuunga mkono kwa vitendo sekta ya Elimu…

4 December 2024, 12:42

CRDB yakabidhi madawati 40 shule ya msingi kabulanzwili Kasulu

Wadau wa maendeleo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuisadia Serikali kujitokeza kuchangia michango kwenye sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wananfunzi. Na Michael Mpunije – Kasulu Benki ya CRDB kanda ya magharibi imekabidhi…

25 November 2024, 14:27

Askofu Mlola awataka vijana kukemea rushwa Kigoma

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma Mhashamu Joseph Mlola amewataka vijana kuwa mstari mbele kukemea vitendo vya rushwa kwenye jamii hasa kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za mitaa. Na Emmanuel Kamangu Vijana  mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanakemea ruswa…

21 November 2024, 10:04

CCM walia na migogoro ya ardhi, umeme Kigoma

Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zikiwa zimenduliwa rasmi, viongozi wa chama cha mapinduzi wameomba serikali kuaidia kutatua changamoto za ukosefu wa umeme na migogoro ya ardhi. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Serikali kupitia chama cha mapinduzi ccm…

19 November 2024, 14:27

Wagombea watakiwa kufanya kampeni kwa amani Buhigwe

Kampeni za uchaguzi wa serikaili za mitaa zinazinduliwa rasmi kitaifa katika eneo la Kiganamo Hamlmashauri ya mji wa Kasulu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wakati kampeni za uchaguzi…