Joy FM
Joy FM
26 February 2025, 14:38
Serikali imeendelea kuboresha elimu nchini kwa kujenga vyumba vya madarasa ili wananfunzi waweze kupata elimu bora. Na Hagai Ruyagila Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA imekabidhi mradi wa nyumba nne kwa shule ya sekondari Nyumbigwa na madarasa matatu katika shule ya…
22 February 2025, 6:59 pm
Wananchi mkoa wa Kigoma walia na serikali juu ya ukosefu wa mfumo wa utiririshaji wa maji wadai kunawapelekea kupatwa na magonjwa ya mlipuko. Na Linda Dismas Wananchi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza changamoto wanazokumbana nazo kutokana na kutokuwa na…
19 February 2025, 10:45
Kaimu Mkuu wa Wilaya Kasulu Kanali Kanali Michael Ngayalina ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya Buhigwe amesema bajeti iliyopishwa ikawe chachu ya kuchochea maendeleo kupitia miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu…
17 February 2025, 13:45
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapatao Tanzania TRA imesema itaendelea kushirikiana na wanfanyabiashara kukabiliana na wanaoingiza bidhaa kwa njia za magendo Na Timotheo Leonard Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amekemea…
17 February 2025, 11:01
Mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania, TIRA imeendelea kuhamasisha wamiliki wa vyombo vya moto na wananchi Mkoani Kigoma kukata bima za vyombo vya moto na bima za afya. Na Lucas Hoha – Kigoma Wamiliki wa vyombo vya moto wameomba, Mamlaka…
14 February 2025, 9:26 am
Serikali imeendelea kusisitiza suala la ulaji wa vyakula vyenye lishe bora kwa wazazi na watoto. Na Theresia Damas Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imefanya tathmini ya kikao kuangazia lishe bora ikiwa na maazimio mbalimbali ikiwemo watoto kula shuleni ili kuwajenga…
13 February 2025, 11:22 am
amefariki baada ya kupigwa na Sungusungu kwa tuhuma za kushukiwa anajishughulisha na vitendo vya wizi. Na Betold Chove -Katavi Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amekemea vitendo vya Wananchi kujichukulia sheria mkononi, hali inayopelekea uvunjifu wa amani na kuhatarisha…
12 February 2025, 09:17
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha inaimarisha sekta ya kilimo kwa kuweka miundombinu rafiki kwa wakulima ili kuhakikisha wanalima kilimo chenye tija. Na James Jovin Wakazi mkoani Kigoma wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya ujenzi wa miundombinu wezeshi kwa ajili…
11 February 2025, 4:52 pm
Wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula vya jamii ya mikunde kwa lengo la kuboresha Afya. Na Theresia Damas Ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya mikunde Duniani, wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula jamii ya mikunde kwa lengo la…
11 February 2025, 10:38
Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye ameyataka mashirika yasiyo ya Serikali kufanya kai kwa kuzingatia sera na miongozo ya katiba ya nchi katika kuwahudumia ikiwa ni pamoja na kuweka wazi shughuli wanazozifanya. Na Josephine Kiravu Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotekeleza…