Joy FM

Uncategorised

8 May 2024, 14:26

Vijana wa jkt kutumika katika uzalishaji mali

Vijana wanaomaliza mafunzo ya kijeshi wametakiwa kuendelea kutumia ujuzi wa uzalishaji mali ili kusaidia kuzalisha na kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani. Na Kadislaus Ezekiel – Kakonko Mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali Jocob Mkunda, amewataka vijana wanaohitimu mafunzo…

8 May 2024, 13:13

Wajasiriamali tumieni vitambulisho kupata mikopo

Serikali imewataka wajariamali kutumia vitambulisho vya ujasiriamali kama sehemu ya kuwawezesha kupata mikopo itakayowasaidia kujiendeleza kibiashara. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wajasiriamali wadogo wadogo wa halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali ambacho kitamsaidia kupata…

7 May 2024, 17:00

Meja Kodi: Lazima tulinde mipaka yetu iwe salama

“Mkoa wa Kigoma una wageni wengi wanaoingia nchini hivyo hatuna budi kuwa makini na kuhakikisha ulinzi unaimarika katika mipaka ya nchi yetu ili kuhakikisha hakuna tatizo linaokea”. Na, Tryphone Odace – Kigoma Mkuu wa Tawi la Lojistiki na Uhandisi Jeshini, …

6 May 2024, 15:58

Neema yawashukia wakulima wa mpunga kasulu

Serikali imeeleza kuwa wakulima wataendelea kuneemeka na mavuno yenye tija iwapo watazingatia maelekezo ya wataalamu wa kilimo juu ya kilimo chenye tija na ushindani katika soko la ndani na nje ya nchi. Na Timotheo Leonard – Kasulu Wakulima wa zao…

6 May 2024, 08:53

RC Andengenye awataka vijana wa jkt kujiajiri

Vijana wa kujenga wanaohitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya mtabila wametakuwa kuwa wazalendo kwa nchi na kutumia maarifa na ujuzi waliopata katika kujiajiri na kuacha kutegemea ajira. Na, Tryphone Odace – Kasulu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye…

3 May 2024, 14:00

RC Kigoma awataka vijana kutumika kimaendeleo

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye ameiasa jamii kutumia nguvu kazi ya vijana katika shughuli za Kimaendeleo ili kuongeza uchumi wa taifa na jamii kwa ujumla. Ametoa wito huo wakati…

3 May 2024, 12:06

Wahudumu wa afya acheni lugha chafu kwa wagonjwa

Mkuu wa wilaya Kigoma Mkoani kigoma amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua kali wahudumu wa afya wanaokiuka madili ya kazi zao kwa kutumia lugha chafu kwa wagonjwa ikiwmo kuwasimamisha kazi. Na Orida Sayon – Kigoma Wahudumu wa vituo vya Afya na…

2 May 2024, 17:02

Wananchi wajenga shule kunusuru watoto wao na mimba

Serikali imesema itaendelea kusaidiana na wananchi katika kuhakikisha wanafanikisha utoaji wa huduma muhumu ikiwemo kujenga shule ili kutatua changamoto za wanafunzi kutembea umbali mrefu kutafuta elimu katika kijiji kingine. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wa kijiji cha Nyankoronko kata…

2 May 2024, 12:25

Wananchi kufikishwa mahakamani waliohujumu eneo la uwekezaji

Serikali wilayani kibondo imesema itaendelea kuwachukulia hatua wanaokiuka taratibu za uwekezaji kwa kuvamia maeneo yanayokuwa yamepangwa kwa ajili ya uwekezaji. Na James Jovin – Kibondo Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma inapanga kuwaburuza mahakamani baadhi ya wananchi wa vijiji…